Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Kwa nini tume wamebadilisha utaratibu wa kulipia bank? Malipo ya serikali yanalipwa kwa mfumo wa kieletronic.. CHADEMA ombeni mkalipie bank achaneni na malipo ya cash
Lakini si watapewa risti ya serikali au?
 
Niko area D watu wabugujika machozi ya furaha kwa kutaka kumuona Mh, Lissu ..aaah Magufuli yuko ICU hawezi kutoboa hata mshindi wa tatu hataingia ,nadhani hii coalition yake na Tlp ndo itamsaidia kuingia top 5
Nyie watu mnapenda sana kujifurahisha.
 
Ni shida ndugu yangu. Chini ya CCM hakuna tuliloweza kuliendesha kwa ufanisi. Kupanga makazi yetu tu na miji yetu imekuwa shida kila sehemu mitaa ya hovyo na uchafu tu. Chama kilichoshindwa hata kusimamia tu watu wajenge kwa ustaarabu na miji yetu na makazi yetu yapendeze leo hii wanasema eti wao tu ndo wanaweza kuongoza hii nchi. Ni aibu sana.

Nimejifunza kitu kuwa nikiona mtu anashabikia CCM basi uwa ninatia mashaka sana uelewa wake wa mambo
 
Utawala wa sheria katika maisha ya dhiki ni upumbavu.
 
Mkipata mbunge hata mmoja, mutakua mumejitahidi sana. Mhe rais Magufuli ameahidi uchaguzi kua huru na haki ili mkose kichaka cha kufichia aibu itakayowapata.
 
Reactions: nao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…