Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Form watakazopewa waende kwa Vyama vingine wazilinganishe kama zote ni the same.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jane Lowassa said:
Jidanganyeni tu magwanda
Kwa kuwa wewe ushazoea kudanganywa unazaa zaa hovyo hapo ushwahilini kwenu pumbavu kabisa wewe.
Lakini si watapewa risti ya serikali au?Kwa nini tume wamebadilisha utaratibu wa kulipia bank? Malipo ya serikali yanalipwa kwa mfumo wa kieletronic.. CHADEMA ombeni mkalipie bank achaneni na malipo ya cash
Cc CHADEMAMUWE MAKINI NA NEC!
Hakikisha mnakuwa makini katika kuchukua fomu. Wanaweza kuwawekea fomu ambazo zina dosari, specifically printed for you!
TAKE CARE! Salary Slip Mwanahabari Huru Chakaza
Nyie watu mnapenda sana kujifurahisha.Niko area D watu wabugujika machozi ya furaha kwa kutaka kumuona Mh, Lissu ..aaah Magufuli yuko ICU hawezi kutoboa hata mshindi wa tatu hataingia ,nadhani hii coalition yake na Tlp ndo itamsaidia kuingia top 5
Hana binti bwege kama huyu, ovaZero kabisa!
We ni kimada wa mamvi au bintiye??!
Ni Yeye 2020
Watakuletea picha za mwaka 2015Picha sijui mnafungia mandazi.
nawaona viti maalumTupo njiani kumlaki Ni YEYE YULE View attachment 1530554
umeandika nini? soma tena
Ni shida ndugu yangu. Chini ya CCM hakuna tuliloweza kuliendesha kwa ufanisi. Kupanga makazi yetu tu na miji yetu imekuwa shida kila sehemu mitaa ya hovyo na uchafu tu. Chama kilichoshindwa hata kusimamia tu watu wajenge kwa ustaarabu na miji yetu na makazi yetu yapendeze leo hii wanasema eti wao tu ndo wanaweza kuongoza hii nchi. Ni aibu sana.Na mimi najenga nyumba ya gorofa 200 Kariakoo. Nina hakika hela zitaniishia katika uchimbaji wa msingi kabla hata nondo za huo msingi sijanunuwa.
Fikiria, mradi wa mabasi ya mwendokasi umetushinda juu ya kuwa nauli ni x1.5 zaidi ya daladala. Nini chengine tutaweza?
Utawala wa sheria katika maisha ya dhiki ni upumbavu.By the way mtu anayeleta maendeleo ila hathamini utu wa watu huyo kwangu simthamini kabisa. Tundu lisu najua hataweza hata punje kuleta maendeleo lakini atajali sana utawala wa haki na sheria, sitarajii kusikia watu wakipotea chini ya tundu lisu.Mungu atutangulie atuwezeshe.
Very correctMbeba maono hafi mpaka mission ikamilike
Utawala wa sheria katika maisha ya dhiki ni upumbavu.
Chadema mna hofu sana.Siyo hofu ni uweledi tu katika uchukuaji fomu
Ndoto za asubuhi hiziMkipata mbunge hata mmoja, mutakua mumejitahidi sana. Mhe rais Magufuli ameahidi uchaguzi kua huru na haki ili mkose kichaka cha kufichia aibu itakayowapata.
Chadema mna hofu sana.
Magufuli hajamnyanyasa mtu ,Unyanyasaji katika utawala wa uchumi ni uwendawazimu