Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Ndo hapo sasa!!Wenzetu wanapeleka chombo Mars sisi hata maji taka Kariakoo yanashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hapo sasa!!Wenzetu wanapeleka chombo Mars sisi hata maji taka Kariakoo yanashinda
Chadema wameshabomoa mlango ?Leo ni sikukuu.
Ofisi hazitafunguliwa.
Sijui mtabomoa mlango?
Umetoa mfano wa mkoloni kupima Oyster bay, kwani tangu mkoloni aondoke serikali haipimi viwanja? Unaukumbuka mradi wa viwanja elfu ishirini hapa Dar ambapo maeneo ya Bunju, ununio, Boko, Mivumoni, Kijichi, Kibada, Mikwambe, Tuangoma, Mwanagati yalipimwa? Serikali kila mwaka nchi nzima viwanja hupimwa lakini kwa utaratibu kutrgemeana na ukuaji wa miji. Dodoma baada ya Serikali kuhamia huko vimepimwa viwanja vingi tu. Huwa husikii matangazo ya kuuzwa viwanja vilivyopimwa?Samahani una elimu gani??? Mbagala kuna mashamba??? Tandale kuna mashamba?? Manzese kwa mfuga mbwa Kuna mashamba??? Mbeya kwenye zile squatters kuna mashamba??? Mwanza kule milimani watu wamejenga bila vyoo hovyo Kuna mashamba?????
Kweli CCM ni wapuuzi!!!
Umewai kufika Oysterbay na Masaki??? Mzungu alipima vile viwanja na zile nyumba Mbona still zina maeneo na watu wanalima hata mbogamboga na ndizi????
Kweli CCM mnanipa hasira , nilipanga kushawishi watu 1000 wampigie kura Lissu na Chadema Ila mwaka huu nitashawishi watu 5000 peke yangu
Story za vijiwe vyenu vya kahawa zimeanzaKuna tetesi kwamba baadhi ya wakuu wa idara fulani fulani wameishaanza kuandika barua za kujiuzulu , wanaogopa utawala mpya wa Rais Lissu
Mimi sio mamlaka ni msomaji waJf ila huwa sipendi unafiki. Maoni yote ninayotoa humu ni yangu binafsi jinsi ninavyoliona jambo. Ila athari za kukosekana amani ninazijua madhara yake yanagusa jamii nzima ndio maana mtu akitaka kufanya jambo ambalo litatuathiri wote nalikemea.Hayo niliyokuambia ni ukweli mtupu, labda ungekiri kwanza ukweli niliousema. Kama wakati huo box la lilichezewa mbele ya macho ya umma, ni kipi unataka nije nikiri huko mbeleni? Ungenionyesha uungwana kuwa hayo yaliyofanyika huko nyuma ni sawa, ila kwa sasa mmejirekebisha, na ili nijue kweli ni mtu unayependa ukweli, tamka wazi kuwa uchaguzi wa SM za mitaa ulikuwa batili. Halafu tutaanzia hapo kwenye hilo daraja.
Sawa mkuuTulishindwa au mlifanya udhalimu. Na kwa taarifa yenu sasa ni baasi!!! Hatutauacha tena udhalimu wenu wowote ule.
Kwani korona IPO?Mbona hakuna social distancing?
Ndugu, #Ajira hakuna kabisa tangu 2015 hadi sasa.Ni huruma sana ndoto za graduates zimefungwa na mchawi mmoja tu! yeye akisema ndipo zinatolewa.Wenye shahada za #Ualimu masomo ya #Sanaa wanachakujifunza kwa tangu mwaka 2015.Hivi kuna mtu mwenye akili timamu atampigia kura mgombea wa CCM?
CCM inawadanganya Watanzania kuwa ndani ya miaka 4-5 wamejenga viwanda 8477 , viwanda vingi kuliko vile vya Japan vilivyojengwa kwa miaka 100. Very stupid.
Ajira za kwenye miradi mikubwa tu ni zaidi ya milioni 6.
Utawapaje kura watu waongo, wanafiki na wazandiki kiasi hiki.
Ajira zingekuwa nyingi hivi nisingeona classmates wangu wengi wakilishwa na mama zao.
Ni Yeye Mshindwa!Ni Yeye 2020
Mbona vijana wameajiriwa sana au haupo TZ!! Madaktari, Walimu, Wanajeshi etc. Wewe unazungumzia ajira gani mkuu?Ndugu, #Ajira hakuna kabisa tangu 2015 hadi sasa.Ni huruma sana ndoto za graduates zimefungwa na mchawi mmoja tu! yeye akisema ndipo zinatolewa.Wenye shahada za #Ualimu masomo ya #Sanaa wanachakujifunza kwa tangu mwaka 2015.
#Dictator Never Never Never Ever and Ever again!
We ndio mbutika kweli hivi ata umeangalia vyama vingine walivyochukua form?
Wote makatibu zao walikuwa wanapewa hati wanairudisha meza kuu na kuwatambulisha wagombea zao wanasimama kwenda kuchukua form; kuanzia CCM mpaka UDP.
Yaani kuna rituals kadhaa imebidi zisifuatwe kukosekana kwa katibu wa CDM ili tu watoke umo ndani. Hizi tabia za kujifanya wajuaji ndio zinawaleteaga shida.
Wameshaambiwa wanapewa siku tatu za kusaidiwa kabla ya kurudisha rasmi form NEC wanaweza kwenda kuonyesha form zao kama kuna mapungufu yoyote ya ujazaji waambiwe mapema kasoro zilipo, wakarekebishe ndio warudishe hakuna lengo la kuzuia mtu kisa makosa ya kujaza form.
Bado tu Tundu Lissu hana imani anataka afungue mkarabasha kuakiki kama kila kitu kimo na kupotezea watu muda hiki chama sijui kina matatizo gani. Kuwa mfuasi wa CDM lazima kuna kitu wafuasi wake wanatumia sio bure wao ghasia tu.
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi. Naishukuru serikali yangu imenipa ajira. Natambua kazi aliyoianza mhe rais Magufuli ya kuijenga nchi yetu na ndio maana nataka aimalizie kwa 2020-2025.
Natambua Cuf , tlp, cdm, act wazalendo ni wote ni vyama vya upinzani
Nawasihi chadema msiwabague wenzenu. Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana. Itawatafuna.
Mbona vijana wameajiriwa sana au haupo TZ!! Madaktari, Walimu, Wanajeshi etc. Wewe unazungumzia ajira gani mkuu?
Kwani lazima zijazwe zote kama zilikuwepo zingine za magumashi je??Waliofukuzwa kwa vyeti fake kwa mujjibu wa serikali kama sio data za kupika ni 19,000+. Lakini ajira zilizotoka ndani ya miaka hii mitano, sidhani hata kama zimefika kujaza hao walifukuzwa kwa vyeti fake.
Mimi sio mamlaka ni msomaji waJf ila huwa sipendi unafiki. Maoni yote ninayotoa humu ni yangu binafsi jinsi ninavyoliona jambo. Ila athari za kukosekana amani ninazijua madhara yake yanagusa jamii nzima ndio maana mtu akitaka kufanya jambo ambalo litatuathiri wote nalikemea.
Nilichosema tusubiri uchaguzi ufanyike halafu tuone kama hautakuwa huru na haki sio kuhukumu kwa confidence kuwa utaibiwa kura. Na nimekutaka ukishindwa kihalali uwe na ujasiri wa kukubali sio kupotosha umma.