Hichi kipindi kinarudiwa lini, natamani sana muda kinarudiwa nikiingalieNiseme maneno haya tu!
Nimemsikiliza Tundu Lissu kuanzia mwanzo hadi mwisho. Nikiri tu. Lissu sio wa sayari hii!!!
Lissu ni zaidi ya Raisi. Leo hadi nimewish kipindi kisiishe. Watanzania kwa mara ya kwanza tumepata the right candidate!
Tundu Antiphas Lissu, nakuita tena Tundu Antiphas Lissu, shkamoo!!!!
Kura yangu umepata!!! Huyu jamaa ni akili sahihi ya kuipeleka nchi yetu mbele. Narudia tena!! Shkamoo Lissu
Walau aongei mambo ya kipuuzi kama Lissu hajui hata maana ya budgeting limiting factor yeye kila kitu atafanya na kuna mijitu ina amini; hizo hela atatoa wapi. Hata condition za kupewa mikopo na donors pia afahamu anaropoka tu.Vip yule aliyesema anaigeuza Tanzania kama ulaya
Sijui watarudia lini. Ila ukweli tu bila unazi wowote!! Hiki ndo kipindi bora zaidi cha dk 45 tangu hii programu ianzishwe. Lissu ni mtu na nusu kwa kweliHichi kipindi kinarudiwa lini, natamani sana muda kinarudiwa nikiingalie
Nitajie aina tatu za solar energy inavyozalishwa jinsi namna hiyo mifumo inavyofanya kazi, size gani ya solar farm inaweza zalisha Megawatt 2100 ndio ujadili investment za renewable and sustainable energy supply policy na mimi.Rudi shule kasome Renewable Energy. Bro hujui chochote njoo nikupige pindi au nenda kinyerezi II wakupe muongozo
Ombi : Utoaji mimba uruhusiwe ili kuwanusuru wazazi na aibu kama wazazi wa kijana huyu wanavyodhalilikaKumsikiliza lissu ili iweje sasa. Bora Magufuli anaweza akatamka neema kwa wafanyakazi, wamachinga, boda boda na mama ntilie.
Mkuu kwa sisi wenye umri uliosonga,tunajua ccm wanavyoelewa Mambo kwa taratibu sana na ndo maana watanzania tumechelewa sana ? Unadhani sisi niwakuhesabu flyovers? Hata hii elimu bure ccm wamekuja kuelewa kwamba inawezekana after 5 good yearsI tell huyu mtu inabidi akapimwe akili what a load of nonsense anaongea, hivi kabisa kuna watu wanaamini upuuzi anao ongea.
Lissu The GreatestSijui watarudia lini. Ila ukweli tu bila unazi wowote!! Hiki ndo kipindi bora zaidi cha dk 45 tangu hii programu ianzishwe. Lissu ni mtu na nusu kwa kweli
Nitajie aina tatu za solar energy inavyozalishwa jinsi namna hiyo mifumo inavyofanya kazi, size gani ya solar farm inaweza zalisha Megawatt 2100 ndio ujadili investment za renewable and sustainable energy supply policy na mimi.
Mkuu hata wachawi hupumzika kuroga walau siku moja moja.I tell huyu mtu inabidi akapimwe akili what a load of nonsense anaongea, hivi kabisa kuna watu wanaamini upuuzi anao ongea.
Mkuu kunywa maji utajisikia vizuri ...naona joto linapandaI tell huyu mtu inabidi akapimwe akili what a load of nonsense anaongea, hivi kabisa kuna watu wanaamini upuuzi anao ongea.
Kwa ivyo jibu ni kuwaongopea na kuwajaza watanzania ujinga kama anavyofanya Lissu.Mkuu kwa sisi wenye umri uliosonga,tunajua ccm wanavyoelewa Mambo kwa taratibu sana na ndo maana watanzania tumechewa? Unadhani sisi niwakuhesabu flyovers? Hata hii elimu bure ccm wamekuja kuelewa kwamba inawezekana after 5 good years
Joined march 2020Ivi Nyie Nyumbu huwa mnaangaliaga tv gan kila tv mazponda lkn kila program za kila tv mnazijua hahahahahah mnanishangaza Aisee bablai