Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kura gani atapata mpaka aibiwe?Huyu jamaa haibiwi kura.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kura gani atapata mpaka aibiwe?Huyu jamaa haibiwi kura.
Si ndio maana mnabaki mnaandika ujinga kwa taarifa yako sasa hivi LNG plant itakuwa roughly $4 billion dollars nyie endeleeni kuambiana upuuzi wa $32 billion; hivi unajua hiyo $32 billion ungeilipa kwa muda gani au huwa mnajipayukia tu. Kiazi weweNi mjinga gani wa kumsikiliza Abbas , hivi ule uchumi wa kati mliokuwa mnaupigia chapuo la uongo umeishia wapi ? Jf si mahali pa kuleta utopolo , wanafiki wakubwa nyie !
Mbona hamtoi link? Wengine tupo kuhakikisha mambo huku field yanaenda vizuri
elimu huna poleAngalia hao ndio viwer hizo satellite zako na ving'amuzi unavyosema, kama hujui nyamaza tu.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ccm 20 chadema 0.Huu ni mwanzo tu
Ni lijinga hiloNakucheka uzi wako.. wamekusaidia aibu ya nyie wafuasi bomuuuu.. Magufuli anasomesha bure.. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Eti 6.9K ukaandika laki 6.9
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa ni mashine. Hivi kuna profesa wa kumsogelea. Hivi ana elimu gani hiki kichwaUyu jamaa kichwa sana kwa mwenye macho
Tayari tushawadhibiti wanafiki nyie !Kura gani atapata mpaka aibiwe?
Magufuli atatamka hizo neema kwa Kisukuma mtaelewa nyie wa huko sisi tutamsikiliza Mh. Tundu Lissu tunayemwelewa.Kumsikiliza lissu ili iweje sasa. Bora Magufuli anaweza akatamka neema kwa wafanyakazi, wamachinga, boda boda na mama ntilie.
Kwa ivyo jibu ni kuwaongopea na kuwajaza watanzania ujinga kama anavyofanya Lissu.
Ziwa Victoria limejaa maji huko kanda ya Ziwa hawajui wafanyie nini chini ya jua hili hili.We mpuuzi na mnavyokata miti na kuharibu mazingira unafikiri kiwango cha maji ya hilo bwawa mwaka huu kitakuwa sawa na miaka 20 ijayo??????
Hivi CCM huwa mnafikiri kwa kutumia nini??? Hujui kiwango cha maji ya kwenye mito kwenye nchi zenye joto hasa za upande wetu kinapungua sana kutokana na maadiriko ya tabia nchi???
Unaelewa maana ya elimu ai umekariri tu neno elimu.elimu huna pole
Huyo wenu ndege zake zinamfaidisha vipi anayekaa namtumboYaani anajiropokea vitu ambavyo avielewi kabisa amekaa ulaya na kuona mambo kadhaa anadhani na Tanzania inaweza fanikisha kirahisi hivi anafahamu universal health credit inavyochangiwa kweli au anajiropokea tu.
Huyo shetani muua watu ana lipi la kuongea? Yaani kuwaua wenzako bila kikufanyia kosa lolote ,natamani Mungu peleke lakini sina ujanjaI tell huyu mtu inabidi akapimwe akili what a load of nonsense anaongea, hivi kabisa kuna watu wanaamini upuuzi anao ongea.
Mpaka tunaenda mapumziko dk 45 za kwanza team Lissu umiliki wa mpira ni 80% , ngoja tuone dk 45 za team lumumba wakirudi uwanjani Kama watajibu mapigo kwa % ngp ...team Lissu wako vzr kwenye kuzuia na kushambulia maana wanaongoza kwa goli 3 bila[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][SUP]ukimsikiliza Lissu unagundua Magu ameturudisha nyuma na kutupotezea muda[/SUP]
Kwa iyo ziwa Victoria ndo linazalisha umeme wa stiglers gorge????Ziwa Victoria limejaa maji huko kanda ya Ziwa hawajui wafanyie nini chini ya jua hili hili.
Isitoshe issue ni upuuzi wa kudai Gas ipo majini as if inatoka tu yenyewe pathetic Lissu.