Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

We mpuuzi na mnavyokata miti na kuharibu mazingira unafikiri kiwango cha maji ya hilo bwawa mwaka huu kitakuwa sawa na miaka 20 ijayo??????

Hivi CCM huwa mnafikiri kwa kutumia nini??? Hujui kiwango cha maji ya kwenye mito kwenye nchi zenye joto hasa za upande wetu kinapungua sana kutokana na maadiriko ya tabia nchi???
Wewe nawe umekariri hoja za wazungu eti miti!
. Wenzio huko mikoani wana kampeni ya kupanda miti mimi mwenyewe nina eka 6 saa hii,
Kwahiyo hiyo miti inayokatwa kwenye hako kaeneo itafidiwa na miti ya sehemu ndogo sana hapa nchini.

Kingine ukipata umeme wa uhakika na nafuu wanachi wanaotumia mkaa wataacha na kutumia umeme na hivyo utaokoa maelfu ya miti nchini.
. Hii ni simple tu siyo lazima Lisu aseme ndio akili yako ichangamke
 
1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya?
2. Ni kwanini anahusisha Tukio lake moja kwa moja na Serikali na kamwe si Maadui zake wengine labda nje ya Siasa?
3. Je, ana Uadui wa Kisiasa tu au ana Chuki Binafsi dhidi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli?
4. Je, CHADEMA ya sasa ni Taasisi au ni ASASI tu yenye Umiliki wa Kudumu kutokea Mkoani Kilimanjaro aliko Muasisi wake?
5. Je, akishinda Urais ataendelea kubakia na Msimamo wa Rais Magufuli na CCM yake Serikali ihamie Dodoma au atautengua upesi?
6. Je, Watanzania wanahitaji Mabadiliko ya Katiba au Misingi ya Kimaadili yenye Utashi mwingi wa Kiuwajibikaji na Kiutendaji?
7. Je, ni kweli kwamba hulka ya Wapinzani wa Tanzania hasa wa CHADEMA ni Kupinga tu kila Kitu na hakuna Jema CCM imelifanya?

Nakukubali sana tu Dada yangu Farhia Middle na Wewe unalijua hili kutokana na 'Uwerevu' wako, ila sijui leo kwanini umeniangusha Kimaswali hivi.
 
Umepanda miti wapi??? Hivi unajua suala la uharibifu wa mazingira lilivyo critical saivi Tanzania????
 
Mpk tunaenda mapumziko dk 45 za kwanza team Lissu umiliki wa mpira ni 80% , ngoja tuone dk 45 za team lumumba wakirudi uwanjani Kama watajibu mapigo kwa % ngp ...team Lissu wako vzr kwenye kuzuia na kushambulia maana wanaongoza kwa goli 3 bila[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushindi ulo huku field siyo kwenye tv kupiga porojo.

Huku field ubao unasoma ccm 20 chadema 0
 
Si ndio maana mnabaki mnaandika ujinga kwa taarifa yako sasa hivi LNG plant itakuwa roughly $4 billion dollars nyie endeleeni kuambiana upuuzi wa $32 billion; hivi unajua hiyo $32 billion ungeilipa kwa muda gani au huwa mnajipayukia tu. Kiazi wewe
Mkuu nimekwambia hujui chochote kuhusu renewable energy... Kiufupi hujui chochote huwezi ukaanza kuongelea initial cost ya plant... Wakati huo hujui resources yako ipoje. Alichokuwa anakiongea Tundu Lissu ni kuwa nishati ya gesi ipo nyingi na itatumika kwa muda mrefu.. Kumbuka nishati ya gas inazalisha umeme na mabaki yake as steam nayo pia yanazalisha umeme.

Tukija faida nyingine kupikia, gas inatumika kupikia tena kwa gharama ndogo kabisa. Niliona comment yako unaongelea hydropower dah wewe jamaa hebu kuwa serious basi.
 
Mimi najua Lissu hana huo uwezo kwa sababu mambo anayo yaongelea nayafahamu na anachoongea ni upuuzi.

Kapuku ni wewe usiejua kinachoongelewa in technical terms na bado unadiriki kutetea ujinga.

Wee jamaa naona uko zamu kukidhi akidi ya buku zako hapo lumumba.
 
Zaidi yake.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nyuma alikuwa.. anamsifu sana.. nafikiri vyeti fekelo na rushwa juu.. vikamuonyesha jiji.. anastahili alichopata..
Huwa naona kinyaa hata kugusa k ya mwanamke aliyembovu kichwani
 
Haha lisu bwana anaulizwa Uhuru upi unaouzungumzia??

Anashindwa kujieleza.
 
Mimi najua Lissu hana huo uwezo kwa sababu mambo anayo yaongelea nayafahamu na anachoongea ni upuuzi.

Kapuku ni wewe usiejua kinachoongelewa in technical terms na bado unadiriki kutetea ujinga.
Lala ukue wee pimbi acha kubishana na kaka zako
 
Yaani anajiropokea vitu ambavyo avielewi kabisa amekaa ulaya na kuona mambo kadhaa anadhani na Tanzania inaweza fanikisha kirahisi hivi anafahamu universal health credit inavyochangiwa kweli au anajiropokea tu.
Jinga Hilo limekuja kutembeza bakuli lirudi kwa beberu lake Amsterdam.
 
1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya?
2. Ni kwanini anahusisha Tukio lake moja kwa moja na Serikali na kamwe si Maadui zake wengine labda nje ya Siasa?
3. Je, ana Uadui wa Kisiasa tu au ana Chuki Binafsi dhidi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli?
4. Je, CHADEMA ya sasa ni Taasisi au ni ASASI tu yenye Umiliki wa Kudumu kutokea Mkoani Kilimanjaro aliko Muasisi wake?
5. Je, akishinda Urais ataendelea kubakia na Msimamo wa Rais Magufuli na CCM yake Serikali ihamie Dodoma au atautengua upesi?
6. Je, Watanzania wanahitaji Mabadiliko ya Katiba au Misingi ya Kimaadili yenye Utashi mwingi wa Kiuwajibikaji na Kiutendaji?
7. Je, ni kweli kwamba hulka ya Wapinzani wa Tanzania hasa wa CHADEMA ni Kupinga tu kila Kitu na hakuna Jema CCM imelifanya?

Nakukubali sana tu Dada yangu Farhia Middle na Wewe unalijua hili kutokana na 'Uwerevu' wako, ila sijui leo kwanini umeniangusha Kimaswali hivi.
Mtangazaji ameuliza maswali yenye maslahi mapana ya kitaifa na si hoja binafsi/ fununu baina ya wagombea. Hayo maswali (mengi) ameisha yajibu sana kwenye mahojiano mbali mbali hapo awali.
 
Mkuu nimekwambia hujui chochote kuhusu renewable energy... Kiufupi hujui chochote huwezi ukaanza kuongelea initial cost ya plant... Wakati huo hujui resources yako ipoje. Alichokuwa anakiongea Tundu Lissu ni kuwa nishati ya gesi ipo nyingi na itatumika kwa muda mrefu.. Kumbuka nishati ya gas inazalisha umeme na mabaki yake as steam nayo pia yanazalisha umeme. Tukija faida nyingine kupikia, gas inatumika kupikia tena kwa gharama ndogo kabisa. Niliona comment yako unaongelea hydropower dah wewe jamaa hebu kuwa serious basi.
We nishakwambia nitajie namna tatu umeme wa nishati ya jua unavyozalishwa kwanza.

Siwezi ku discuss sustainable energy policies wakati mtu ninaejibizana nae pengine ata hajui huo umeme unazalishwa vipi let alone cost zake na ardhi unayoitaji kuzalisha megawatt elfu moja tu ya umeme wa jua au upepo.
 
Back
Top Bottom