Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Wewe nawe umekariri hoja za wazungu eti miti!We mpuuzi na mnavyokata miti na kuharibu mazingira unafikiri kiwango cha maji ya hilo bwawa mwaka huu kitakuwa sawa na miaka 20 ijayo??????
Hivi CCM huwa mnafikiri kwa kutumia nini??? Hujui kiwango cha maji ya kwenye mito kwenye nchi zenye joto hasa za upande wetu kinapungua sana kutokana na maadiriko ya tabia nchi???
. Wenzio huko mikoani wana kampeni ya kupanda miti mimi mwenyewe nina eka 6 saa hii,
Kwahiyo hiyo miti inayokatwa kwenye hako kaeneo itafidiwa na miti ya sehemu ndogo sana hapa nchini.
Kingine ukipata umeme wa uhakika na nafuu wanachi wanaotumia mkaa wataacha na kutumia umeme na hivyo utaokoa maelfu ya miti nchini.
. Hii ni simple tu siyo lazima Lisu aseme ndio akili yako ichangamke