Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya?
2. Ni kwanini anahusisha Tukio lake moja kwa moja na Serikali na kamwe si Maadui zake wengine labda nje ya Siasa?
3. Je, ana Uadui wa Kisiasa tu au ana Chuki Binafsi dhidi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli?
4. Je, CHADEMA ya sasa ni Taasisi au ni ASASI tu yenye Umiliki wa Kudumu kutokea Mkoani Kilimanjaro aliko Muasisi wake?
5. Je, akishinda Urais ataendelea kubakia na Msimamo wa Rais Magufuli na CCM yake Serikali ihamie Dodoma au atautengua upesi?
6. Je, Watanzania wanahitaji Mabadiliko ya Katiba au Misingi ya Kimaadili yenye Utashi mwingi wa Kiuwajibikaji na Kiutendaji?
7. Je, ni kweli kwamba hulka ya Wapinzani wa Tanzania hasa wa CHADEMA ni Kupinga tu kila Kitu na hakuna Jema CCM imelifanya?

Nakukubali sana tu Dada yangu Farhia Middle na Wewe unalijua hili kutokana na 'Uwerevu' wako, ila sijui leo kwanini umeniangusha Kimaswali hivi.
Andaa kipindi cha Tv kokote kule au redioni umwalike ili aje akujibu hayo maswali yako ya kitoto
 
Nimefatilia mahojiano ya Lissu na Farhia Middle katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV leo usiku,bila shaka ni moja ya kipindi kilichotazamwa na watu wengi nchini na nje ya nchi.

Taarifa zilianza kuzagaa jana katika mitandao ya kijamii hususani Facebook juu ya uwepo wake Itv leo.Nimefatilia sana na kaongea mambo mengi sana juu ya uchaguzi mkuu na kueleza mikakati yao kuelekea huko.

Nimeona Lissu anayo nguvu kubwa ya kuvishawishi vyombo vya habari kuanza kurusha habari zake.Ameongea mambo ya msingi kwa mstakabari wa taifa letu.

Ningeramani hata mh Magufuli ajitokeze ili aibadi ilani yake japo kwa ufupi ili baadae wananchi waachie nafasi ya kuona nani anafaa kwa maendeleo yao ya leo na kesho
 
Attachments

  • FB_IMG_15991633528329498.jpg
    FB_IMG_15991633528329498.jpg
    42 KB · Views: 2
Ushindi ulo huku field siyo kwenye tv kupiga porojo.

Huku field ubao unasoma ccm 20 chadema 0
Kokote tumeshawakalisha .. chadema 3 ccm 0 ..hiyo inaitwa 3 bila ... mgombea wenu anaongelea madaraja na teuzi wakat October 28 atakuwa kijijini Chatto anaangalia lissu akiapishwa Taifa ...mwaka huu tafuteni kz ya kufanya, shauri yenu
 
Andaa kipindi cha Tv kokote kule au redioni umwalike ili aje akujibu hayo maswali yako ya kitoto

Tangia lini Ditram Nchimbi ( kantasundwa ) wa Yanga ya Tanzania 'akamkubali' Lionel Messi ( GENTAMYCINE ) FC Barcelona ya nchini Uhispania?
 
Ushindi ulo huku field siyo kwenye tv kupiga porojo.

Huku field ubao unasoma ccm 20 chadema 0

Kujisifia kuwa una viti vya bure bila kushindana, ni sawa na kwenda kuchukua malaya wanaojiuza kisha ujisifie kuwa unajua kutongoza!
 
Tangia lini Ditram Nchimbi ( kantasundwa ) wa Yanga ya Tanzania 'akamkubali' Lionel Messi ( GENTAMYCINE ) FC Barcelona ya nchini Uhispania?
Lionel Messi wa lumumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ..hongera kaka Lionel Messi wa lumumba ...kwaya master wa kusifu na kuabudu yesu wa chatto
 
Lionel Messi wa lumumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ..hongera kaka Lionel Messi wa lumumba ...kwaya master wa kusifu na kuabudu yesu wa chatto

Kwa 'Kunijibu' tu hivi umeshadhihirisha kuwa 'Dozi' ya Jibu langu nililokupa 'imekuingia' kisawasawa na hasa 'unahangaika' na 'kutepeta' tu hapa.
 
Nashangaa wale umoja wa wahariri kutoandika habari za CDM Kisha tbc,Sasa utauza vipi gazeti mtaani bila habari ya cdm,angalau Sasa biashara ya magazeti inauzika sababu ya kampeni tofauti na nyuma watu walisusia sababu ya kumtukuza mtu mmoja.sikumbuki lini nimewahi nunua gazeti zaidi ya gazeti la tumaini letu sababu ni la kwenye Jumuiya.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maganda ya korosho tena?? [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sisi Chadema tunatuma Maombi Maalum kwa Mgombea Urais wa CCM Mzee Daktari bingwa wa kemia duniani Bwana Magufuli Kukubali Kuwa na MDAHALO na Mgombea Urais Wa Chadema Kamanda Tundu Lissu ili Kushindanisha SERA na Mitazamo Yao kwa Nchi Yetu Live kwenye TV na Redio Zote za Duniana na Wananchi Wote Watasikiliza!:
 
Kwani hajawa rais wenu wa mioyo tu?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Sisi Chadema tunatuma Maombi Maalum kwa Mgombea Urais wa CCM Mzee Daktari bingwa wa kemia duniani Bwana Magufuli Kukubali Kuwa na MDAHALO na Mgombea Urais Wa Chadema Kamanda Tundu Lissu ili Kushindanisha SERA na Mitazamo Yao kwa Nchi Yetu Live kwenye TV na Redio Zote za Duniana na Wananchi Wote Watasikiliza!:
 
Marudio ya hicho kipindi ni lini ?

ITV wamemuongezea mgombea wetu wa CCM stress usiku huu, sijui kesho itakuwaje
TRA kesho asubuhi Wapo pale mlangoni subiri mtaona! Meko amefura hatari maana alikuwa anafuatilia kupita king'amuzi cha azamu.
 
Back
Top Bottom