Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.

Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.

Kwasasa Agenda ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu.

Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio wengine hao 15.​

1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso
17. George Simbachawene

John Malecela alipoambiwa kuwa hafai kuwa rais kwa uzee alisema kazi ya urais si kazi ya kubeba zege. Usiweke kigezo cha umri mdogo kikazuia watu wenye uwezo mkubwa.

Zaidi.

List yako mwenyewe mbona karibu wote washavuka 50 ama 2030 watakuwa washavuka 50?

Hapo ambao watakuwa hawajafikisha miaka 50 mwaka 2030 naona ni David Kafulila, Paul Makonda, Juma Aweso na Jerry Slaa.

Wengine tayari washapita miaka 50 au 2030 watakuwa washapita miaka 50.

Yani mpaka kwenye suala la age ambalo lipo kwenye public record Mtanzania unakimbilia kuandika majina bila uchunguzi hata wa dakika kumi kuangalia umri wa watu uliowalist?
 
John Malecela alipoambiwa kuwa hafai kuwa rais kwa uzee alisema kazi ya urais si kazi ya kubeba zege. Usiweke kigezo cha umri mdogo kikazuia watu wenye uwezo.
Zaidi.

List yako mwenyewr mbona karibu wote washavuka 50 ama 2030 watakuwa washavuka 50?

Hapo ambao watakuwa hawajafikisha miaka 50 2030 naona ni David Kafulila, Paul Makonda, Juma Aweso na Jerry Slaa

Wengine tayari washapita miaka 50 au 2030 watakuwa washapita miaka 50.

Yani mpaka kwenye suala la age ambalo lipo kwenye public record Mtanzania unakimbilia kuandika majina bila uchunguzi hata wa dakika kumi kuangalia umri wa watu uliowalist?
Tatizo Watanzania wengi wanadanganya umri aisee but kazi ilikuwa ni kuwalist swala la kuwa aged litajadiliwa wakati huo huo
 
Sisihemu turufu ni makonda tuu, wengine wooote hao hawabebeki
 
Tatizo Watanzania wengi wanadanganya umri aisee but kazi ilikuwa ni kuwalist swala la kuwa aged litajadiliwa wakati huo huo
Sasa wewe umeweka kigezo cha age wasizidi miaka 50 halafu ume wa list watu wengine waliopitisha hiyo age ya miaka 60 tayari, unajua unataka nini?

Umeshindwa kuangalia age zao mtandaoni kabla ya ku list?

Au unapenda kukurupuka tu?
 
Hebu nisaidie kulifanya hilo mkuu ni katika kuboresha tu habari yetu🤝
 
Tatizo langu nini mkuu?
Sasa makonda mwenye hajui kaua sana .mnafiki .chawa .mdhalilishaji watumishi.tuhuma za ubwabwa (ushoga).barua ya marekani ya kudhulumu uhai wa watu.kuhusika kumshambulia lissu na kuomba msamaha.kukandamiza wapinzani .kumteka moo.
Ukimuweka kwenye list tunatoa userious na kujua una3gemea upande na ni haya mambo ya kuvutia wanasiasa kupata teuzi(uchawa) ,eti ridhwan serious kawahata ongea sentensi moja ya maana .ukisema mwinyi wa zenji ntapinga lakin namjua ni chuma kanyoosha zanziba.njia ya kujichafua ni kusogelea mchafu magu alijua akamtumbua mapema
 
Makonda Kuna watu wengi pia wanamwamini hata kama wewe humpendi🤣🤣
Pia james delicious kuna wengi wanamuamini hata kama mm simpendi
Kama kigezo ni kupendwa si tuwape urais mitume na manabii feki wanapendwa sana na wajinga
 
Hebu nisaidie kulifanya hilo mkuu ni katika kuboresha tu habari yetu🤝
Nikusaidie kwani wewe hujui ku Google?

Kwanza hiyo age limit uliyoiweka umeipataje? Kwa nini ukomo uwe miaka 50, si 60 na wala si 49?

Unaelewa kikatiba mtu haruhusiwi kuwa rais mpaka afikishe miaka 40?

Unaelewa ukiweka upper limit ya miaka 50 uta limit sana idadi ya watu wanaoweza kuwa rais, watakuwa ni watu wenye umri wa miaka kati ya 40 na 50 tu, na watu wengi wenye uwezo watakosa nafasi hiyo kwa sababu ya kanuni ya umri ambayo hata hujatueleza umeipataje?
 
Kwani Kuna chama kingine Serious chakutoa someone presidential material?
Mkuu kama ndio hivyo ungepeleka kwenye jukwaa la CCM, maana wananchi wasio kuwa na chama hawana haja ya kupoteza muda kwenye hoja hii.
 
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.

Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.

Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu.

Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 16.​

1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso
17. George Simbachawene
4 ondoa,hatutarudia kosa hilo
 
Nikusaidie kwani wewe hujui ku Google?

Kwanza hiyo age limit uliyoiweka umeipataje? Kwa nini ukomo uwe miaka 50, si 60 na wala si 49?

Unaelewa kikatiba mtu haruhusiwi kuwa rais mpaka afikishe miaka 40?

Unaelewa ukiweka upper limit ya miaka 50 uta limit sana idadi ya watu wanaoweza kuwa rais, watakuwa ni watu wenye umri wa miaka kati ya 40 na 50 tu, na watu wengi wenye uwezo watakosa nafasi hiyo kwa sababu ya kanuni ya umri ambayo hata hujatueleza umeipataje?
Nimesema kwa Kadiri ya trendi ya wapigakura ilivyo mpaka kufikia 2030 idadi ya wapigakura vijana itakuwa ni zaidi 50% ya wapigakura wote.

Sasa kama unataka kushinda huu Uchaguzi lazima uje na Mgombea wa Rika hili,

Najua unajua ukiwa na Mgombea mzuri unaweza kushinda Uchaguzi kwa zaidi ya 60% bila chama Wala pesa.
 
Mkuu kama ndio hivyo ungepeleka kwenye jukwaa la CCM, maana wananchi wasio kuwa na chama hawana haja ya kupoteza muda kwenye hoja hii.
No huu ni mtazamo wangu tu yakwamba bado hakuna chama chenye mfumo Serious wa kuwa na mgombea serious.
 
Sasa makonda mwenye hajui kaua sana .mnafiki .chawa .mdhalilishaji watumishi.tuhuma za ubwabwa (ushoga).barua ya marekani ya kudhulumu uhai wa watu.kuhusika kumshambulia lissu na kuomba msamaha.kukandamiza wapinzani .kumteka moo.
Ukimuweka kwenye list tunatoa userious na kujua una3gemea upande na ni haya mambo ya kuvutia wanasiasa kupata teuzi(uchawa) ,eti ridhwan serious kawahata ongea sentensi moja ya maana .ukisema mwinyi wa zenji ntapinga lakin namjua ni chuma kanyoosha zanziba.njia ya kujichafua ni kusogelea mchafu magu alijua akamtumbua mapema
Nimemuweka ili wenye challenges kama ninyi mzilete humu ili ziwasaidie wajumbe kufanya maamuzi hiyo 2030.
 
NIsikudanganye uzi wako mzuri sana ungetulia na kuwa seriois ipo list ungeweka ungesaidia chama cha ccm na ungekumbukwa sana uzi wako .ila unatuuliza ni mkoa gani unafaa kwa utalii nchini tqnzania afu namba 1 unaweka bujumbura.unategemea tuumize kichwa tena ???
 
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.

Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.

Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu.

Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 16.​

1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso
17. George Simbachawene
Labda 10 na 13 tu, hao wengine hata kwenye nafasi ya PM's hawafai. Wana siasa nyingi sana kuliko utendaji kazi. Tulipo sasa hatuhitaji Rais wa hivyo.

Kama huyo 11 ana msururu wa watu wanaosubiri awe Rais ili wale mema ya nchi, so atawakumbuka wananchi saa ngapi? Si hadi amalizane na 'madeni' ya hao wanasubiri Urais wake?

Ova
 
NIsikudanganye uzi wako mzuri sana ungetulia na kuwa seriois ipo list ungeweka ungesaidia chama cha ccm na ungekumbukwa sana uzi wako .ila unatuuliza ni mkoa gani unafaa kwa utalii nchini tqnzania afu namba 1 unaweka bujumbura.unategemea tuumize kichwa tena ???
Mimi sio kazi yangu kufanya Screening mkuu, Screening fanyeni ninyi Mimi kazi yangu kubwa niliyoifanya ni hiyo
 
Back
Top Bottom