Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimesema kwa Kadiri ya trendi ya wapigakura ilivyo mpaka kufikia 2030 idadi ya wapigakura vijana itakuwa ni zaidi 50% ya wapigakura wote.

Sasa kama unataka kushinda huu Uchaguzi lazima uje na Mgombea wa Rika hili,

Najua unajua ukiwa na Mgombea mzuri unaweza kushinda Uchaguzi kwa zaidi ya 60% bila chama Wala pesa.
That is a logical fallacy, logical non sequitur.

Demographic ya wapiga kura si kazima iendane na umri wa anayepigiwa kura.
 
Labda 10 na 13 tu, hao wengine hata kwenye nafasi ya PM's hawafai. Wana siasa nyingi sana kuliko utendaji kazi. Tulipo sasa hatuhitaji Rais wa hivyo.

Kama huyo 11 ana msururu wa watu wanaosubiri awe Rais ili wale mema ya nchi, so atawakumbuka wananchi saa ngapi? Si hadi amalizane na 'madeni' ya hao wanasubiri Urais wake?

Ova
Umejuaje namba 11 anamsururu wa wanaosubiri awe Rais wale mema?
 
That is a logical fallacy, logical non sequitur.

Demographic ya wapiga kura si kazima iendane na umri wa anayepigiwa kura.
Unajizijua vizuri sababu za watu kwanini wanapiga kura kwa Mgombea X badala ya Y?
 
No huu ni mtazamo wangu tu yakwamba bado hakuna chama chenye mfumo Serious wa kuwa na mgombea serious.
Mkuu nikikunukuu umenegate hata uwezo wa CCM kuwa na mfumo serious wa kupata mgombea huyo serious, kwa hiyo hoja yako umeiua mwenyewe. Maana pia haina ukweli kabisa!

Kuna wananchi huru na waliopo kwenye vyama mbali mbali vya siasa ambao wapo serious na wanauwezo mkubwa tu kuliko uliowaorodhesha hapo mwanzo.

Ni akili yako tu haioni hilo, halafu unataka kulisha watu wote humu mtazamo wako finyu.
 
Mkuu nikikunukuu umenegate hata uwezo wa CCM kuwa na mfumo serious wa kupata mgombea huyo serious, kwa hiyo hoja yako umeiua mwenyewe. Maana pia haina ukweli kabisa!

Kuna wananchi huru na waliopo kwenye vyama mbali mbali vya siasa ambao wapo serious na wanauwezo.

Ni akili yako tu haioni hilo, halafu unataka kulisha watu wote humu mtazamo wako finyu.
Hebu taja candidate mmoja asiye CCM aliye Serious
 
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.

Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.

Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini pia lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu wa Mbinguni.

Tafadhali Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 16.​

1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso
17. George Simbachawene
Yes Naona jembe langu Kafulila lipo hapo, Hii ni orodha ya kweli🥰🥰
 
Hebu taja candidate mmoja asiye CCM aliye Serious
Mkuu sio vizuri kukuchanganyia mafuta ya taa kwenye mahaba yako. Ukitizama jambo lolote kwa mahaba huwezi kusema ukweli, maana mahaba hutaka uone utakavyo moyo, sio akili!
 
Unajizijua vizuri sababu za watu kwanini wanapiga kura kwa Mgombea X badala ya Y?
Wakati wewe unashadadia sababu za watu kupigia kura mgombea X au Y, rais wako mwenyewe kashakwambia mkiwapigia kura au msipowapigia kura, wao watashinda tu. Maana yake wana uwezo mkubwa wa kupanga matokeo wanavyotaka na kutangazwa washindi, kwa mgombea wao wanayemtaka, bila kujali kura za watu.

Mpaka hapo huoni kuwa unacheza mchezo wa kushindwa na hizi habari unazoleta hapa ni comedy za kufurahisha baraza tu?
 
Kwahiyo pesa zinakopwa badala ya kuwekeza kwenye jambo productive unatumia kulipa watu mishahara!?
Na huo mkopo unajirudishaje mkuu!?
Una uhakika hakuna waliopoteza kazi kipindi cha Samia?
Kuna miradi ilosimama wafanyakazi wakarudishwa,TRC kuna mabadiliko ya kipumbavu kayafanya yamepunguza watu vyeo na wengine kuwaacha jobless.
Alichokua akifanya Magufuli ni kulifanya hili taifa economic independent,na kama hili lingekamilika tungekua mbali sana.
Furahieni hiyo mishahara kuongezwa ilhali watu wanakopa nje IMF huko na mashirika ya fedha ya kimataifa ili ninyi mpate mshahara,mwishowe ni pesa yenu kupungua thamani na gharama za maisha kupanda.
Sasa sijui hiyo mishahara mikubwa itakua na thamani gani!!??

..fedha nyingine amekopa ili kulipa mikopo iliyo-mature. Ccm ina viongozi wa hovyo sana.
 
Back
Top Bottom