Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitaka Malaika washuke ndio wagombee uraisLini ulikuwa mgumu?
Nadhani kuna kitu haukielewi vizuri mkuu,Hivi unajua Tanzania ni nchi ambayo ina akiba hafifu ya fedha za kigeni kuliko miaka yote kuwa kutokea!?
Hivi unajua kuwa maendeleo ya kipato kwa raia mmoja mmoja ni MABOVU kwa raia wa Tanzania?
Hivi unajua kama gharama za maisha zimepanda sana zama hizi!?
Hao unaowasemea wafanyabiashara wengi wao ni wanufaikaji wa wao wenyewe huku wakila sahani moja na viongozi wanaolindiana nao maslahi yao wao kwa wao.
Na wengi wao ilithibitika wakiwa ni wakwepa kodi na wanyonyaji wanaolipa wafanyakazi mishahara midogo kuwahi kutokea.
Kama Samia kaivusha nchi kwanini mikopo imekua mingi na yeye ndiye rais aliyekopa kuliko awamu zotw zilizopita kwa muda mfupi wa miaka mitatu?
Na mbona miradi inasuasua!?
Nilipoona namber 1.nkajua huna akili nkaacha uzi wa kupuuzwaBila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu.
Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 16.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso
17. George Simbachawene