Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Uko serious?!Bashungwa anafaa kuwa rais wa nchi yoyote duniani the guy is smart and humble.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko serious?!Bashungwa anafaa kuwa rais wa nchi yoyote duniani the guy is smart and humble.
Tundu kuwa rais chenga tu..hana utulivu.Nyie urais kile cheo si mchezo - kizito sana.Kinahitaji mtu mtulivu asiyeropoka sana..Lissu ni mwanaharaki aendelee kuwa mwanaharakati...ndo kipaji chake..anafit huko
Watanzania bado hatuipendi nchi yetu kwa mitazamo hii...... Hao wote hakuna mwenye sifa ya kuongoza Taifa hili.Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa Agenda ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu.
Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio wengine hao 15.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso
17. George Simbachawene
Atakuwa Sugu moto chiniHayo ni majangili tupu, bora ya Mpina
Unatutafuta wewe!Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa Agenda ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu.
Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio wengine hao 15.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso
17. George Simbachawene
Hussein mwinyi anatoshaBila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa Agenda ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu.
Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio wengine hao 15.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso
17. George Simbachawene
54Vijui vizuri miaka yake wewe Unaijua ni mingapi?
Tuache na raisi wetu mkuu 😁😁😁🚬kaacha kummention na kumshortlist Rais, kaweka mbele usela![]()
MAKONDA MIAKA 1000Mgombea ni Samia mwenye maono ya kutuvusha baad ya nchi kuharibiwa na jiwe. Wawekezani na biasha zinarudi kwa kasi. Mama ongoza miaka 100
Jerry & David✓Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa Agenda ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu.
Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio wengine hao 15.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso
17. George Simbachawene
Wacha tuone.Namba 2 Yuko smart sana upstairs. But cjui mambo Yake mengine ila Uku wa nchi anauweza.
Mchuano mkali utakuwa namba 11 na 12
Kafulila kama aligomea 2.8bilion za ESCROW akaridisha chenji ya 2.4 bilion zilizobaki kwenye Ujenzi wa Jengo la RAS Songwe nasema huyu kama Sifa zingine anazo basi ni mtu wa kupambana na Rushwa kwa ukweli bila kuigiza ni huyu. NoBila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa Agenda ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu.
Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio wengine hao 15.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso
17. George Simbachawene
Ngoja tuoneKafulila kama aligomea 2.8bilion za ESCROW akaridisha chenji ya 2.4 bilion zilizobaki kwenye Ujenzi wa Jengo la RAS Songwe nasema huyu kama Sifa zingine anazo basi ni mtu wa kupambana na Rushwa kwa ukweli bila kuigiza ni huyu. No
Kabisa,ccm ni mkomboziAje CCM tujenge nchi tunamkaribisha sana
Mbona hapa vijana ni wawili tu ambao ni Bashungwa na Aweso?Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.