Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
😂😂😂😂😂Mkuu kuna utofauti wa mzazi anayekufanya upambane ndio ule na mzazi anayekutengenezea mazingira ya kula.
Sasa hivi hiyo fursa ya kula imegusa watu wa kwenye mfumo tu.
Mbona mimi siko kwenye mfumo na kwa sasa nina uhakika
 
Kuna rais hakuwahi kuwa mwizi!?
Huyo Trump mwenyewe former president wa USA aliiba serikalini.
Ila unaiba je maendeleo yanaonekana!?
Kuhusu kina Dewji na hao wengine kauatilie masakata yao ya kodi na mishahara midogo wanayolipa wafanyakazi wao.
Mfanyabiashara ambaye yuko perfect bwana ni Said Salim Bakhresa tu,wengine wanafuata.
Nina swali moja tu mkuu,Samia kwa rekodi yake ndani ya miaka mitatu amekopa pesa zaidi ya rais yeyote wa Tanzania kuanzia Nyerere mpaka Magufuli,unaweza ukaeleza hizo fedha zilizokopwa zimefanyiwa nini mpaka sasa cha maana!?
Bakhresa utajiri wake umetokana na hela za Salim,Afrika ni ngumu kuwa tajiri bila kua na mikono Michael kupitia Serikalini.
Kawaaulize Wanaijeria jinsi Dangote anavyofanya
 
Bakhresa utajiri wake umetokana na hela za Salim,Afrika ni ngumu kuwa tajiri bila kua na mikono Michael kupitia Serikalini.
Kawaaulize Wanaijeria jinsi Dangote anavyofanya
Salim yupi?
Embu fafanua.
Je Yusuph Manji na Mohammed Dewji na Rostam Azizi nao wamefanikiwa kwa mikono ya serikali??
Embu fafanua na thibitisha kauli zako.
 
Tayari upo katika mfumo mkuu.
Serikali mshahara must haijalishi shirika ulilopo linazalisha ama linazorota katika kuzalisha.
Natamani kuacha kazi niingie sector binafsi mana Samia katengeneza mazingira mzuri sector binafsi inashine kwa sasa.
 
Natamani kuacha kazi niingie sector binafsi mana samia katengeneza mazingira mzuri sector binafsi inashine kwa sasa.
Hongera yako mkuu.
Sisi hatuko kwa mfumo ni wapambanaji tu wa hapa na pale.
 
Kitendo cha kumuweka Paul Makonda as a first option. Automatically akili yangu ikarender huu uzi Invalid.
 
Kati ya hao uliowataja hakuna hata mmoja labda makonda, tena kwa mbaali
 
Back
Top Bottom