Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.

Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50...​
1. Paul Makonda .........................................Kashfa ya gorofa la GSM
2. Jerry Silaa .................................................Alituhumiwa kushiriki uuzaji wa open space jijiji Dar akiwa Diwani
3. David Kafulila .........................................Hamahama ya vyama inamfanya asiaminike na greens
4. Tulia Ackson ............................................Ameshiriki sana kuuza bandari zetu
5. Mchengerwa Mohamed .................Ataongozwa na wakwe
6. Hamprey Polepole................................Aliisaliti Rasimu ya Jaji Warioba
7. Luhaga Mpina .........................................Yuko vizuri
8. Ridhiwani Kikwete ................................Yeye, Mama yake na baba yake ni mchwa unaotafuna hata chuma
9. Innocenti Bashungwa .......................Simjui vizuri
10. Dotto Biteko ............................................Ni kama msanii fulani hivi
11. January Makamba .............................Mchwa hatari
12. Mwigulu Nchemba .............................Maringo, majivuno, hathamini kada ya chini
 
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.

Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50...​
Hapo namuona bora hata Tulia Ackson.
Ila Suleyman Jafo alitakiwa awepo kwa list.
Waliobaki wote takataka.
 
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.

Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50...​
Umesahau Jumaa Awesso
 
Imeangamia au imeimarika. Kipindi cha jpm ndo nchi ilikuwa inaenda ICU kila kitu vurulu vuluru. Kila mwekezaji alikuwa anakimbia nchi inabaki na machinga tu utadhani tuko vitani. Na asingekufa mapema ingefika hatua hata mishahara haipo ambapo jeshi lingempindua. Mishahara huw ni kodi na walipa kodi ni wafanyabiashara ambao walikuwa wanakimbia kutekwa
Hivi unajua Tanzania ni nchi ambayo ina akiba hafifu ya fedha za kigeni kuliko miaka yote kuwa kutokea!?

Hivi unajua kuwa maendeleo ya kipato kwa raia mmoja mmoja ni MABOVU kwa raia wa Tanzania?

Hivi unajua kama gharama za maisha zimepanda sana zama hizi!?

Hao unaowasemea wafanyabiashara wengi wao ni wanufaikaji wa wao wenyewe huku wakila sahani moja na viongozi wanaolindiana nao maslahi yao wao kwa wao.

Na wengi wao ilithibitika wakiwa ni wakwepa kodi na wanyonyaji wanaolipa wafanyakazi mishahara midogo kuwahi kutokea.

Kama Samia kaivusha nchi kwanini mikopo imekua mingi na yeye ndiye rais aliyekopa kuliko awamu zotw zilizopita kwa muda mfupi wa miaka mitatu?

Na mbona miradi inasuasua!?
 
Hivi unajua Tanzania ni nchi ambayo ina akiba hafifu ya fedha za kigeni kuliko miaka yote kuwa kutokea!?
Hivi unajua kuwa maendeleo ya kipato kwa raia mmoja mmoja ni MABOVU kwa raia wa Tanzania?....
Nani aliwathibitisha kwamba ni wakwepa kodi? We si unaona mahakama ya mafisadi imekufa kwa sababu ilikuwa mizuka na mihemko ya jpm kukomoa mahasimu wake wa siasa.

Mtu wa kuthibisha huyu ni mwizi ama la ni mahakama siyo rais. Rais mwenyewe anaweza kuwa mwizi hivyo hawezi kujjichunguza mwenyewe. Kumbuka pesa alizoficha china jpm pamoja na biswalo
 
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.

Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50...​
2030 hawa wote watakuwa wazee
 
Back
Top Bottom