Kuna rais hakuwahi kuwa mwizi!?Nani aliwathibitisha kwamba ni wakwepa kodi? We si unaona mahakama ya mafisadi imekufa kwa sababu ilikuwa mizuka na mihemko ya jpm kukomoa mahasimu wake wa siasa. Mtu wa kuthibisha huyu ni mwizi ama la ni mahakama siyo rais. Rais mwenyewe anaweza kuwa mwizi hivyo hawezi kujjichunguza mwenyewe. Kumbuka pesa alizoficha china jpm pamoja na biswalo
Huyo Trump mwenyewe former president wa USA aliiba serikalini.
Ila unaiba je maendeleo yanaonekana!?
Kuhusu kina Dewji na hao wengine kauatilie masakata yao ya kodi na mishahara midogo wanayolipa wafanyakazi wao.
Mfanyabiashara ambaye yuko perfect bwana ni Said Salim Bakhresa tu,wengine wanafuata.
Nina swali moja tu mkuu,Samia kwa rekodi yake ndani ya miaka mitatu amekopa pesa zaidi ya rais yeyote wa Tanzania kuanzia Nyerere mpaka Magufuli,unaweza ukaeleza hizo fedha zilizokopwa zimefanyiwa nini mpaka sasa cha maana!?