Hizi takataka xinaenda wapi bila katiba mpya!Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa Agenda ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu.
Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio wengine hao 15.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso