Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Labda Bashungwa tuu ila tatizo ana muonekano wa Kinyarwanda sana na hawa tunawajua.
 
Amini amin tuendako tia maji tia maji,

Ninamwonea huruma raisi ajaye baada ya samia ataipata shida sana

Kama atakuja ni kutoka opposition itakuwa mbaya sana

Imagine raisi ajaye atawapa matumani makubwa wananchi alafu atakuta hazina patupu

Na rasilimali zote wameuza Hawa ccm wahuni, kwa mikataba ya kimataifa ambayo si raisi kuitengua
Huku wao wakiendelea kula shares zao taratiibu

Ndo maana nasema wakimaliza kuuza nchi watakuwa radhi kuwaachia wapinzani

Wapinzani wasifikiri wataachiwa nchi kwa sababu ya demokrasia big NO,
Itakuwa kwa sababu ccm imeshauza Kila kitu na kuhodhi njia kuu za uchumi. Watasema "Sasa tuwape wapiga kelele tuone watafanya nini"

Watasema" sisi tunadesha nchi kijanja janja tu, tumeuza rasilimali zote alafu tunaenda kwa mwendo wa kopa kopa kuendesha nchi na maisha yanaenda

Na wapinzani wasio na akili watauvaa mkenge
Wapinzani wawe makini kuna mtego waja

Tusubiri tuone
 
Rais naamini hata Mimi atatoka hapaπŸ‘†πŸ‘†
 
Wapinzani wenyewe wako wapi?
 
Kazi kweli kweli, Dkt. Tulia Atkson muda wote anamuona Dkt. Mwigulu Nchemba kama ndiye Rais ajaye 2030. Sababu kubwa ni kutokana na mali ambazo Mwigulu amejilimbikizia ili kuja kumsaidia kwenye Uchaguzi. Mwigulu Nchemba kama Hayati Edward Lowassa inasemekana baada ya 2025 ataonesha wazi wazi nguvu ya fedha zake kuelekea 2030.

Juzi alisikika akisema hata 2025 pamoja na kusema wabunge ambao hawatapata upinzani watapigiwa kura wakishindanishwa na kivuli, bado yeye atahakikisha (pengine kwa kutoa fedha) kivuli hakipati kura zinazozidi mia tano jimboni kwake.

Wakati huo huo Dkt. Tulia naye alisomwa akiongea kwa Kinyakyusa cha ndani kuwa Mama anaonesha yupo tayari zaidi kumwachia mwanamke anayejiweza madaraka kuliko Mwanaume na kwa mujibu huo akamuuliza huyo msikilizaji kwani ni mwanamke gani Tanzania anamyemfuatia Samia Tanzania kama siyo Spika wa Bunge ambaye ndiye yeye Tulia?
 
Nakubaliana na hii orodha hata hivyo
 
Ngoja tuone kinachoendelea
 
2030 mchuano ni mkali mno
 
Kama Riziwani ameshaanza kutajwa kwenye hizi tabiri...tungoje tu matokeo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Simbachawene
 
Badala ya kufikiria changamoto zinaikumba nchi sasahivi , mnafikiria watu wa kuwalamba miguu 2030.
 
Ulaji wenyewe huu wa kushindia miogo?
 
3 sawa kabisa
 
Kwa list hii nimeamini kumbe hata Steve Nyerere na Mwijaku wanaweza kuwa Rais wa nchi yetu
 
Chukua Namba 1, 2, 3, 6, 9, 10, na 13 πŸ˜‰ Waliobaki wapumzishe kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…