Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais naamini hata Mimi atatoka hapa👆👆Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini pia lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu wa Mbinguni.
Na sasa kwa mamlaka niliyopewa natangaza mmoja kati ya hawa 15 ndio Rais wa JMT ajae badaa ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Tafadhali Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 14.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Juma Aweso
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
Wapinzani wenyewe wako wapi?Amini amin tuendako tia maji tia maji,
Ninamwonea huruma raisi ajaye baada ya samia ataipata shida sana
Kama atakuja ni kutoka opposition itakuwa mbaya sana
Imagine raisi ajaye atawapa matumani makubwa wananchi alafu atakuta hazina patupu
Na rasilimali zote wameuza Hawa ccm wahuni, kwa mikataba ya kimataifa ambayo si raisi kuitengua
Huku wao wakiendelea kula shares zao taratiibu
Ndo maana nasema wakimaliza kuuza nchi watakuwa radhi kuwaachia wapinzani
Wapinzani wasifikiri wataachiwa nchi kwa sababu ya demokrasia big NO,
Itakuwa kwa sababu ccm imeshauza Kila kitu na kuhodhi njia kuu za uchumi. Watasema "Sasa tuwape wapiga kelele tuone watafanya nini"
Watasema" sisi tunadesha nchi kijanja janja tu, tumeuza rasilimali zote alafu tunaenda kwa mwendo wa kopa kopa kuendesha nchi na maisha yanaenda
Na wapinzani wasio na akili watauvaa mkenge
Wapinzani wawe makini kuna mtego waja
Tusubiri tuone
Nakubaliana na hii orodha hata hivyoBila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini pia lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu wa Mbinguni.
Na sasa kwa mamlaka niliyopewa natangaza mmoja kati ya hawa 15 ndio Rais wa JMT ajae badaa ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Tafadhali Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 14.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Juma Aweso
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
Ngoja tuone kinachoendeleaKazi kweli kweli, Dkt. Tulia Atkson muda wote anamuona Dkt. Mwigulu Nchemba kama ndiye Rais ajaye 2030. Sababu kubwa ni kutokana na mali ambazo Mwigulu amejilimbikizia ili kuja kumsaidia kwenye Uchaguzi. Mwigulu Nchemba kama Hayati Edward Lowassa inasemekana baada ya 2025 ataonesha wazi wazi nguvu ya fedha zake kuelekea 2030.
Juzi alisikika akisema hata 2025 pamoja na kusema wabunge ambao hawatapata upinzani watapigiwa kura wakishindanishwa na kivuli, bado yeye atahakikisha (pengine kwa kutoa fedha) kivuli hakipati kura zinazozidi mia tano jimboni kwake.
Wakati huo huo Dkt. Tulia naye alisomwa akiongea kwa Kinyakyusa cha ndani kuwa Mama anaonesha yupo tayari zaidi kumwachia mwanamke anayejiweza madaraka kuliko Mwanaume na kwa mujibu huo akamuuliza huyo msikilizaji kwani ni mwanamke gani Tanzania anamyemfuatia Samia Tanzania kama siyo Spika wa Bunge ambaye ndiye yeye Tulia?
2030 mchuano ni mkali mnoBila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini pia lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu wa Mbinguni.
Na sasa kwa mamlaka niliyopewa natangaza mmoja kati ya hawa 15 ndio Rais wa JMT ajae badaa ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Tafadhali Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 14.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Juma Aweso
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
SimbachaweneBila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini pia lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu wa Mbinguni.
Na sasa kwa mamlaka niliyopewa natangaza mmoja kati ya hawa 15 ndio Rais wa JMT ajae badaa ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Tafadhali Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 14.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Juma Aweso
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
Badala ya kufikiria changamoto zinaikumba nchi sasahivi , mnafikiria watu wa kuwalamba miguu 2030.Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini pia lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu wa Mbinguni.
Na sasa kwa mamlaka niliyopewa natangaza mmoja kati ya hawa 15 ndio Rais wa JMT ajae badaa ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Tafadhali Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 14.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Juma Aweso
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
Ubora wa kiongozi hautizamwi kwa kutopiga watu risasi?Bora ajazaye magereza kwa kufuata Sheria za nchi na katiba kuliko apigaye wenzie risasi na kukanyaga katiba ya nchi.
Huwezi kupata mifumo imara bila kuanza kupata watu imara.Mtu mzuri bila mfumo imara na katiba ya kueleweka ni kama kuvaa suruali safi njee ,ndani boxa chafu na imetoboka.
Ulaji wenyewe huu wa kushindia miogo?Imagine unaamka asubuhi huna hata elfu moja ya kunywa chai au chakula cha mchana, sasa akili itakaa sawa kweli. Mama anachofanya ni watu wale kwanza ili wawe na uwezo wa kufikiri vizuri. Huwezi kufikiri sawasawa ukiwa na njaa. Jpm alitufanya tuwe na njaa na kupiga mauyu mda wote
Mimi sina chama na sitakuja kuwa na chama chochote !Mbona Nyie kwenye Uchaguzi wenu tu hakuna free and fair?
Itakuwepo CCM Asili labda 😳Una hakika gani CCM itakuwepo 2030?
3 sawa kabisaBila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini pia lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu wa Mbinguni.
Na sasa kwa mamlaka niliyopewa natangaza mmoja kati ya hawa 15 ndio Rais wa JMT ajae badaa ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Tafadhali Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 14.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Juma Aweso
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
Kwa list hii nimeamini kumbe hata Steve Nyerere na Mwijaku wanaweza kuwa Rais wa nchi yetuBila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini pia lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu wa Mbinguni.
Na sasa kwa mamlaka niliyopewa natangaza mmoja kati ya hawa 15 ndio Rais wa JMT ajae badaa ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Tafadhali Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 14.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Juma Aweso
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
Chukua Namba 1, 2, 3, 6, 9, 10, na 13 😉 Waliobaki wapumzishe kwanza.Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.