Asiwe ametumika kisiasa kwa zaidi ya miaka mitano ili awe na open mind. Mtu aliyekwisha tumika kisiasa kwa muda mrefu anakuwa na mawazo yaliyogandia kwenye siasa zilizomkuza badala ya kuangalia dunia kwa mapana yake.Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50...
Kwa mtazamo wa wengi makonda Ana nafasi kubwa kutokana na ushawishi anaoanza kujijengea kwa wananchi pamoja na kuchafuliwa sana toka enzi za jemedari jpmBila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana...
Tundu kuwa rais chenga tu..hana utulivu.Nyie urais kile cheo si mchezo - kizito sana.Kinahitaji mtu mtulivu asiyeropoka sana..Lissu ni mwanaharaki aendelee kuwa mwanaharakati...ndo kipaji chake..anafit hukoTundu Lissu
😂😀😅👍😂Nadhani Bila Shaka Ameganda Akili Anaona Wao Eti Wanajihesabia Haki Kama Tanganyika Wameinunua Vile Yaani Yao Wao TuKwani lazima atoke CCM?
Miaka mitano ijayo hawa...Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa Agenda ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu.
Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio wengine hao 15.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso
17. George Simbachawene
🙏Umechambua vizuri sana mkuu
Kaacha kummention na kumshortlist Rais, kaweka mbele uselaMbona mtoto wa mwinyi hayupo mkuu
Rais atakua Jerry Slaa baada ya Makamba kuvurunda.Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa Agenda ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu.
Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio wengine hao 15.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso
17. George Simbachawene
And 3Aint no such thing as zero corruption status, its just a formality
Ungesema without major kashfa, clean records. That leave namba 2 atleast
Rais wa 2030 ni huyo namba 11. (January Makamba).Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa Agenda ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu.
Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio wengine hao 15.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso
17. George Simbachawene
Makonda?Katika mambo yatatokea after 50 yrs to come,ni Msukuma kuwa Rais wa Hii Nchi.
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa Agenda ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu.
Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio wengine hao 15.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso
17. George Simbachawene
Tanzania hakuna uchaguzi, bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Hao vijana mnotegemea wataendelea kupanga mistari kwenye chaguzi za kishenzi watatoka wapi?Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa Agenda ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu.
Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio wengine hao 15.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso
17. George Simbachawene
Nimekosea kusoma au naumwa Macho hivi umesema awe na Zero ya Kidato cha NNE almaarufu km Bashite?Comment ziwe fupi fupi
Rais wa 2030 ni huyo namba 11. (January Makamba).