Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tundu kuwa rais chenga tu..hana utulivu.Nyie urais kile cheo si mchezo - kizito sana.Kinahitaji mtu mtulivu asiyeropoka sana..Lissu ni mwanaharaki aendelee kuwa mwanaharakati...ndo kipaji chake..anafit huko

Kama kaweza kuwa Samia , Kina uzito gani?

Urais wa Tanzania sidhan km ni big ishu

Samia alipaswa kuongoza 50 days then uchaguzi mdogo uitishwe apatikane Rais wa Maono

Tanzania ni nchi ya hovyo; huwez kuelewa mpaka uwe umeishi ughaibuni

Mimi naamin Ukiishi TZ ni tayar upo Jahanam

Nchi haina future , viongoz ni rushwa na upigaji na siasa nyingi
I am not proud to be Tanzanian and I am grateful nilichomoka hapo. There is no future in Tanzania unless uwe mwizi na uingie kwenye siasa ukadanganye watu, very poor life

Since 1961 , Mpaka Leo nchi inapanga kujenga barabara [emoji1787] ambazo ni mashimo

Wakati Nchi nyingine wana plan kupeleka Crafts angan dah
 
Watanzania bado hatuipendi nchi yetu kwa mitazamo hii...... Hao wote hakuna mwenye sifa ya kuongoza Taifa hili.
 
Unatutafuta wewe!
 
Hussein mwinyi anatosha
 
Jerry & David✓
 
Namba 2 Yuko smart sana upstairs. But cjui mambo Yake mengine ila Uku wa nchi anauweza.

Mchuano mkali utakuwa namba 11 na 12
 
Kafulila kama aligomea 2.8bilion za ESCROW akaridisha chenji ya 2.4 bilion zilizobaki kwenye Ujenzi wa Jengo la RAS Songwe nasema huyu kama Sifa zingine anazo basi ni mtu wa kupambana na Rushwa kwa ukweli bila kuigiza ni huyu. No
 
Kafulila kama aligomea 2.8bilion za ESCROW akaridisha chenji ya 2.4 bilion zilizobaki kwenye Ujenzi wa Jengo la RAS Songwe nasema huyu kama Sifa zingine anazo basi ni mtu wa kupambana na Rushwa kwa ukweli bila kuigiza ni huyu. No
Ngoja tuone
 
Mbona hapa vijana ni wawili tu ambao ni Bashungwa na Aweso?

Na kati ya hawa vijana wawili hakuna ambaye ni Presidential material.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…