Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
January maka
January Makamba ama Dr Mwinyi ndio Marais wajao. Hussein Bashe ni waziri mkuu
 
Jerry, Kafulila, Mchengerwa wanatabia zinazofanana na wote wanafaa sana
 
Hapo kwenye hiyo list anayeweza kususia maokoto labda Kafulila tu
 
Mwakani uchaguzi afuunatupeleka 2030?.
 
Hao wote ni vijana?
 
Kafulila hapo sawa
 
Wakwanza atakuwa wa mwisho na WA mwisho.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…