Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
YupoMbona mtoto wa Mwinyi hayupo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YupoMbona mtoto wa Mwinyi hayupo mkuu
Anasaidia kuiweka hadharani mifumo ya serikali jinsi isivyo fanya kazi, unworking government machineriesMakonda anamaamuz ya kulurupuka
Hayo ni mawazo yako, lakini nakwambia kwa Bongo hakuna chama pinzani kwa sasa kitakachoweza kuchukua dola, ni hakuna kabisa, hayo ni mawazo yangu.🚮 amna hata mmoja mwenye weledi hapo.
wajichanganye tuwape upinzani.
upinzani wajipange waungane tu. inchi ni yao hii. watafute mtu machapa kazi. awatajuka.
Hayo ni mawazo yako, lakini nakwambia kwa Bongo hakuna chama pinzani kwa sasa kitakachoweza kuchukua dola, ni hakuna kabisa, hayo ni mawazo yangu.
hatupo wajinga kama zamani.Hayo ni mawazo yako, lakini nakwambia kwa Bongo hakuna chama pinzani kwa sasa kitakachoweza kuchukua dola, ni hakuna kabisa, hayo ni mawazo yangu.
Mwenye nafasi hapo ni Bashungwa,Aweso,Mwigulu,Kafulira na Jerry Silaa.Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini pia lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu wa Mbinguni.
Tafadhali Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 16.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso
17. George Simbachawene
Ndio ni lazima maana ccm ndio mama na baba yenuKwani lazima atoke CCM?
Lisu ataendelea Kugombea na Kushindwa tuu kama LipumbaTundu Lissu
Samia bwesi gombea 2030,kwanza atakuwa Mzee by that timeMgombea ni Samia mwenye maono ya kutuvusha baad ya nchi kuharibiwa na jiwe. Wawekezani na biasha zinarudi kwa kasi. Mama ongoza miaka 100
Kwani una ugumu gani?Kweli urais umekuwa mwepesi sana, dah 😃
Kua raisi tuone kama ni simple work!.Kwani una ugumu gani?
Muulize marehemu Lowassa, kama hao wanapata na nafasi ya kufikiriwa au kujadiriwa kuwa ma rais basi kwakweli umekuwa mwepesi sana aisee.Kwani una ugumu gani?
Na sidhani tupo werevu kwa kiasi hicho cha mawazo yako uliyoyaandika.hatupo wajinga kama zamani.
hata akigombea mbwa upizani kula yangu nampa. i dont care at the moment.
na simjui hata mpizani mmoja, sitaki kujua sela zake ila kura yangu.
natupo wengi kama mimi. waweke tu mtu watapata kura
boda boda wote. wameishia form 4. wana uelewa mkubwa sana. ni serikali inahisi ina raia wajinga. by 2025 watajua hilo.Na sidhani tupo werevu kwa kiasi hicho cha mawazo yako uliyoyaandika.
Tunahitaji vijana wenye upeo wa kuelewa na kufahamu mambo, kwani vijana wa leo ndiyo watakuwa wazee wa kesho, tusifanye na tusifuate siasa za mihemko, kaa chini na kuwaza Tanzania yetu tuliyorithishwa na wazee wetu jinsi gani nasi tutawarithisha watoto zetu. Na si kila mtu anaweza kuwa kiongozi, lakini kuna wachache ambao wanauwezo wa kutuwakilisha sisi tuliyowengi katika kuiendea Tanzania tunayoitaka.
Wazazi wangu sio CCM kama ilivo kwako.Ndio ni lazima maana ccm ndio mama na baba yenu
Wako ccm kisiasaWazazi wangu sio CCM kama ilivo kwako.
Ame update now mkuu🙏🙏🙏Yupo