Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
🚮 amna hata mmoja mwenye weledi hapo.

wajichanganye tuwape upinzani.

upinzani wajipange waungane tu. inchi ni yao hii. watafute mtu machapa kazi. awatajuka.
Hayo ni mawazo yako, lakini nakwambia kwa Bongo hakuna chama pinzani kwa sasa kitakachoweza kuchukua dola, ni hakuna kabisa, hayo ni mawazo yangu.
 
hatupo wajinga kama zamani.

hata akigombea mbwa upizani kula yangu nampa. i dont care at the moment.

na simjui hata mpizani mmoja, sitaki kujua sela zake ila kura yangu.

natupo wengi kama mimi. waweke tu mtu watapata kura
 
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.

Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.

Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini pia lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu wa Mbinguni.

Tafadhali Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 16.​

1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso
17. George Simbachawene
Mwenye nafasi hapo ni Bashungwa,Aweso,Mwigulu,Kafulira na Jerry Silaa.

Muongeze Antony Mavunde kwenye list
 
hatupo wajinga kama zamani.

hata akigombea mbwa upizani kula yangu nampa. i dont care at the moment.

na simjui hata mpizani mmoja, sitaki kujua sela zake ila kura yangu.

natupo wengi kama mimi. waweke tu mtu watapata kura
Na sidhani tupo werevu kwa kiasi hicho cha mawazo yako uliyoyaandika.
Tunahitaji vijana wenye upeo wa kuelewa na kufahamu mambo, kwani vijana wa leo ndiyo watakuwa wazee wa kesho, tusifanye na tusifuate siasa za mihemko, kaa chini na kuwaza Tanzania yetu tuliyorithishwa na wazee wetu jinsi gani nasi tutawarithisha watoto zetu. Na si kila mtu anaweza kuwa kiongozi, lakini kuna wachache ambao wanauwezo wa kutuwakilisha sisi tuliyowengi katika kuiendea Tanzania tunayoitaka.
 
boda boda wote. wameishia form 4. wana uelewa mkubwa sana. ni serikali inahisi ina raia wajinga. by 2025 watajua hilo.

uwezi wadanganya watu na vi t-shirt kama zamani. habari zinafika. wagombea tupo wengi sana. tunakuja 2025.

every year 500k ni chuo graduates. sasa in 10 years tuna 60% literant people. uchaguzi will be close than ever before.
 
Top Five presidential post 2030.
1.Dr.Dotto Biteko.
2.Jelly Slab
3.Dr.Hussein Mwinyi.
4.January Makamba
5.Dr.Mwigulu Mchemba.
Top Five Prime Minister
1.Tundu Lissu
2.Dr.Tukia Akson
3.Eng.Mwajuma Juma Waziri
4.Juma Aweso
5.Mohamed Mchenjerwa
 
Back
Top Bottom