Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni nyumba ya mgongo wa tembo,chumba na sebule,pembeni kuna slope mbili,moja hutumika kama jikon nyingine ni ya watoto.

Baada ya mambo kuwamazuri aliwajengea wazszi wake ghorofa moja la kisasa huko Igoma Mwanza,
View attachment 3173181
Nikiangalia nyumba hizo nasema Mungu yupo
Paul Makonda hakupanda ngazi mwenyewe.

Paul Makonda godfather wake ni Samuel Sitta, Sitta ndiye kambeba Makonda mpaka kamfikisha hapo leo.

Paul Makonda alikuwa anakaa nyumbani kwa Sitta kama mwanawe. Ni kijana wa Sitta aliyepewa cheo kwa makubaliano maalum kwamba huyu ni kijana wa Sitta.

Wewe kabla ya kujilinganisha na Paul Makonda, jiulize, godfather wako nani?
 
Fact
 
Amelaaniwa mtu yule amtegemeae mwanadamu
Godfather wangu ni Sit God
 
Ni nyumba ya mgongo wa tembo,chumba na sebule,pembeni kuna slope mbili,moja hutumika kama jikoni nyingine ni ya watoto.

Baada ya mambo kuwa mazuri aliwajengea wazazi wake ghorofa moja la kisasa huko Igoma Mwanza,
View attachment 3173181
Nikiangalia nyumba hizo nasema Mungu yupo
Hilo tundu kwa ajili ya kukimbia nn majambazi yanapo vamia 😆
 
Paul Makonda hakupanda ngazi mwenyewe.

Paul Makonda godfather wake ni Samuel Sitta, Sitta ndiye kambeba Makonda mpaka kamfikisha hapo leo.

Paul Makonda alikuwa anakaa nyumbani kwa Sitta kama mwanawe. Ni kijana wa Sitta aliyepewa cheo kwa makubaliano maalum kwamba huyu ni kijana wa Sitta.

Wewe kabla ya kujilinganisha na Paul Makonda, jiulize, godfather wako nani?
Mkuu Kiranga. Umeongea point tupu.

Na hayo ndio maisha ya watanzania tulio wengi. Ili ufike mbali unahitaji godfather.
 
Paul Makonda hakupanda ngazi mwenyewe.

Paul Makonda godfather wake ni Samuel Sitta, Sitta ndiye kambeba Makonda mpaka kamfikisha hapo leo.

Paul Makonda alikuwa anakaa nyumbani kwa Sitta kama mwanawe. Ni kijana wa Sitta aliyepewa cheo kwa makubaliano maalum kwamba huyu ni kijana wa Sitta.

Wewe kabla ya kujilinganisha na Paul Makonda, jiulize, godfather wako nani?
Nasikia......aaahhh au basiii
 
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi ambaye ni msomi haswa pia ni mbunge Jimbo la Karagwe atakuwa Rais wa TANZANIA 2030

Watu wengi hili jambo hawajalistukia, wapo usingizini

Waziri Bashungwa ndani ya miaka 5 amehudumu ndani ya wizara 7,

Hii yote siyo kibahati anapitishwa wizara mbalimbali ili ajue yaliyoko huko

Kufika 2030 atakuwa amehudumu wizara nyeti nyingine hasa wizara ya fedha, wizara ya mambo ya nje, wizara ya elimu na wizara ya afya.

Kwasasa ameletwa wizara ya mambo ya ndani kunyosha watekaji, polisi wasio waadilifu, rushwa Magerezani na wahamiaji haramu

Innocent Bashungwa amekuwa kiongozi mzuri kila wizara aliyopita,

Innocent Bashungwa (Mb)

2018-2019 - Naibu Waziri Wizara ya Kilimo
2019-2020 - Waziri wa Viwanda na Biashara
2020-2021 - Waziri wa Habari, Sanaa, na Michezo
2022-2023 - Waziri wa TAMISEMI
2023-2024 - Waziri wa Ulinzi
2023-2024 Waziri wa ujenzi
2024-2025 - Waziri wa Mambo ya Ndani

Namtakia kila heri mh Rais ajaye Innocent Bashungwa, homeboy kutoka pale Bushangaro Karagwe
 
Back
Top Bottom