Nahisi huyu ni mtu wa majukumu bado. Nimesikia akiwa ktk mambo ya kiserikali sasa! Uzuri Lissu naye kapewa gavana. Ubaya ni kwamba sasa akina Majaliwa na Samia wanaendelea wakati CHADEMA iko na stop engine.Mpelekee Mzee Baba 'portable' AC injini imepata moto sana.
Kiki vipi wakati amepanikiWanampa kiki ya bure!
Sasa hapa wao ndio wakulaumiwa sasa,Walijitoa uchaguzi wa SM za mitaa baada ya uhuni, je matokeo yamebadilishwa?
Mkamshitaki kwenye hiyo Kamati.
Unasikilizwa Vipi Kama Unajifanya Mjuaji Unajua Kila Kitu Wajua Unaitwa HuendiUnamuhukumu vipi mtu bila kumsikiliza.
Sasa hapa wao ndio wakulaumiwa sasa,
Wewe unaona mtu kauwekea mtego unase alafu unaenda tu kama zuzu. Si upuuzi huu?
Mbona unaandika kama Lissu ambaye kila siku anasema dunia nzima inafahamu kwamba alipigwa risasi. Kweli Dunia nzima??Dunia nzima itahamishia macho Tanzania
Wavumilie. Si wao ndio wanakubali kuingia kwenye uchaguzi huku wanajua hauna usawa?Hoja yako ni nini hapa?
Wavumilie. Si wao ndio wanakubali kuingia kwenye uchaguzi huku wanajua hauna usawa?
We ndo unaakili kuliko ccm na mwenyekiti wake?! Wao wameona hali ni mbaya ndo wakaamua wajipatie nafuu kwa kumfungia Lissu. Nec wanafuata maelekezo tuWanampa kiki ya bure!
Ata anajua iyo sayansi basi.Hapana bhana! Sayansi inasema miayo ni ni uchovu.
Mbna kishanukaaaKinukisheni sasa! NEC wamemjibu Lisu kwa vitendo na kuonesha umbumbumbu wake wa kutojua sheria. Haya nanyi kinukisheni ili ile mikwara yenu tuone kwa vitendo
Hahahhaha.... Bado sana kuielewa hii ngoma weweMbna kishanukaaa
Kwa taarifa yako
Kufuatia mgombea Urais kupitia Chadema Mhe.Tundu Lissu kufungiwa kufanya kampeni kwa siku 7 kuanzia leo hadi tar.9 Oktoba, atatumia nafasi yake kama Makamu Mwenyekiti wa Chadema kufanya ziara ya siku 7 (kuanzia kesho) kuwanadi wagombea ubunge wa majimbo mbalimbali nchini. Sheria ya vyama vya siasa no.5 ya mwaka 1992 inatoa ruhusa kwa viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa kuzunguka majimbo yote kuwanadi wagombea ubunge na udiwani. Hivyo kwa kutumia sheria hiyo Lissu ataanza ziara rasmi kesho kuwanadi wagombea ubunge na udiwani, kisha tar.10 ataendelea na ratiba yake kama mgombea urais.!
#Mwamba #AkiliKubwa #NiYeYe
Lissu [emoji91] [emoji2305][emoji2331]
Wanampa kiki ya bure!
Ndiohivi huyu mkurugenzi wa uchaguzi ni msukuma?
Ameitwa mara ngapi anajifanya jeuri?Unamuhukumu vipi mtu bila kumsikiliza.