Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

Mpelekee Mzee Baba 'portable' AC injini imepata moto sana.
Nahisi huyu ni mtu wa majukumu bado. Nimesikia akiwa ktk mambo ya kiserikali sasa! Uzuri Lissu naye kapewa gavana. Ubaya ni kwamba sasa akina Majaliwa na Samia wanaendelea wakati CHADEMA iko na stop engine.
 
Walijitoa uchaguzi wa SM za mitaa baada ya uhuni, je matokeo yamebadilishwa?
Sasa hapa wao ndio wakulaumiwa sasa,

Wewe unaona mtu kauwekea mtego unase alafu unaenda tu kama zuzu. Si upuuzi huu?
 
Kinukisheni sasa! NEC wamemjibu Lisu kwa vitendo na kuonesha umbumbumbu wake wa kutojua sheria. Haya nanyi kinukisheni ili ile mikwara yenu tuone kwa vitendo
Mbna kishanukaaa

Kwa taarifa yako
Kufuatia mgombea Urais kupitia Chadema Mhe.Tundu Lissu kufungiwa kufanya kampeni kwa siku 7 kuanzia leo hadi tar.9 Oktoba, atatumia nafasi yake kama Makamu Mwenyekiti wa Chadema kufanya ziara ya siku 7 (kuanzia kesho) kuwanadi wagombea ubunge wa majimbo mbalimbali nchini. Sheria ya vyama vya siasa no.5 ya mwaka 1992 inatoa ruhusa kwa viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa kuzunguka majimbo yote kuwanadi wagombea ubunge na udiwani. Hivyo kwa kutumia sheria hiyo Lissu ataanza ziara rasmi kesho kuwanadi wagombea ubunge na udiwani, kisha tar.10 ataendelea na ratiba yake kama mgombea urais.!

#Mwamba #AkiliKubwa #NiYeYe

Lissu 🔥 🙆🏾‍♂️🙋🏿‍♂️
 
Lissu [emoji91] [emoji2305][emoji2331]
Hahahhaha.... Bado sana kuielewa hii ngoma wewe
 
Mbona wao huwa wanamzushia kuwa anatumika na mabeberu kwenye kampeni zao je wao pia wanaweza kulithibitisha hili .
 
Tume munawekea mazingira maguma ya mapolisi yetu kufanya kazi......kuwa munaangali jinsi nchi nyingi raia anapambana na soldiers sio police officers kudai kupinga uonevu...ni ushuri tuu
 
Back
Top Bottom