TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Itabidi utunge sheria zako za kuendesha tume ya uchaguzi kipindi kingine. Kwa sasa tunazosheria zinazoogoza maamuzi ya NEC!Kumhukumu mtu bila kumsikiliza it's against the Law of Natural Justice. ..
Na asipojirekebisha anafutwa kabisa kwenye uchaguzi,Lissu asijiropokee hovyo akahisi labda serikali haipo au inamuogopa wala asijifanganye.
Morgan Tshivangirai alikuwa kama Lissu lakini mwisho wa siku alipigwa spana na kaiacha Zimbabwe hiyo inasonga chini ya Zanupf.
Wamechomoa betrITume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi.
Hiivi hawa watu wa tume familia zo zipo hapa hapa? Hiki wanacho kitafuta kikitokea tutaugulia wote hapahapa? Mbona wanazingua hawaaa?Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi...
Dalili ya mvua ni mawingu. Anguko la CCM ni dhahiri kabisa. Kiwewe kimewakumba na kuwafanya wampumzishe kwa lazima Tundu Lissu kwa muda wa siku 7. Wangalijua nini hasa maana ya namba 7 ktk ulimwengu wa nuru wa kiroho, kamwe wasingalifanya hivyo.Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi...
Kwa Lissu hiyo siku saba kwake ni kama halftime.Wanaendelea kumpiga chura take!
No wonder Polisi wamejidai kusitisha wito wa kumuita Lissu kwani ingekuwa ni too much kwa hizi taasisi za serikali zote kumsghulikia mtu mmoja hivyo wakaona watuzuge eti aendelee na kampeni kumbe wameshamzuia...
Ni kitu gani hicho?Hii tume ndio mnaniambia unaweza kumtangaza Lieu kuwa kashinda!?
Never.
Hapa lazima tukinukishe
Elewa chanzo cha haya yote. Kama masuala ya 'objectivity' yanakuhusu. Na acha hasira tulizana, Mkuu. Ha ha haaaa!KWA UONEVU
Wapuuzi, eti wamewaweka NRA, hiyo ni baada ya Lissu kuwambia hakuna Mlalamikaji. Kwa kweli UYohana akichukua mingine mitano watu watapata shida sana!Wanaendelea kumpiga chura take!
No wonder Polisi wamejidai kusitisha wito wa kumuita Lissu kwani ingekuwa ni too much kwa hizi taasisi za serikali zote kumsghulikia mtu mmoja hivyo wakaona watuzuge eti aendelee na kampeni kumbe wameshamzuia.
Hiyo kamati ya maadili inaundwa na viongozi wa dini?Watu kama wewe unatutafutia ban kama tutasema pumbav. Unaambiwa kamati ya maadili wewe unasema tume. Yaani unashinda JF bila uelewa kiasi hiki?
Alidhani NEC inamuogopa ha ha ha ha haaaKwa Lisu hiyo siku saba kwake ni kama halftime
Yaani hawa wapuuzi wana punguza kura za Ccm bila wao kujua. Ina kera kuona matendo ya kipuuzi yanayo fanywa na Ccm bila kukemewa halafu ati Lissu ndie mwenye makosa.NILIPANGA KUIPA KURA CCM ILA KWA UONEVU HUU NAMPIGIA KURA LISSU
Kawishe unauliza yaani likezone wote wamejazana palehivi huyu mkurugenzi wa uchaguzi ni msukuma?
Kwa hiyo hao NRA nao walilalamika kwamba Lissu anamtuhumu Magufuli kuwaita wakurugenzi?Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi...
Wanaokopa tarehe 3 Oct tamko lavyama viwili vikubwa ndio lengo laoNi kweli, ITV wametangaza sasa hivi. Hawa NEC wanatumika.