Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

Na asipojirekebisha anafutwa kabisa kwenye uchaguzi,Lissu asijiropokee hovyo akahisi labda serikali haipo au inamuogopa wala asijifanganye.
Morgan Tshivangirai alikuwa kama Lissu lakini mwisho wa siku alipigwa spana na kaiacha Zimbabwe hiyo inasonga chini ya Zanupf.

Kwa jinsi Zimbabwe maisha yalivyo magumu, ni juha tu kama ww anaweza kuandika huu utoto hapa jukwaani. Kwa taarifa yako, hata yale mashamba waliyopewa wazalendo uchwara Zimbabwe yanarudishwa kwa wazungu.
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi...
Hiivi hawa watu wa tume familia zo zipo hapa hapa? Hiki wanacho kitafuta kikitokea tutaugulia wote hapahapa? Mbona wanazingua hawaaa?
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi...
Dalili ya mvua ni mawingu. Anguko la CCM ni dhahiri kabisa. Kiwewe kimewakumba na kuwafanya wampumzishe kwa lazima Tundu Lissu kwa muda wa siku 7. Wangalijua nini hasa maana ya namba 7 ktk ulimwengu wa nuru wa kiroho, kamwe wasingalifanya hivyo.

Saba ni namba yenye kuthibitisha ukamilifu wa mpango wa Mungu kwa mwanadamu aliyemuumba. Ndiyo maana kwa kila aina ya imani siku ya 7 huwa ni ya mapumziko, ili akapate kumtukuza, kumshukuru na kumkukumbuka Muumba wake.

Lakini ajabu moja na kweli tunaona pia kunaibuka namba nyingine 8 ikienda sambamba na hii 7 ya Tundu Lissu. Tunapata taarifa ya kuwa mgombea wa CCM anaenda mapumziko kwa muda wa siku 8.

Nini tafsiri ya namba 8 ktk ulimwengu wa nuru wa kiroho? Namba 8 huashiria mwanzo mpya. Yaani baada Mungu kukamilisha mpango wa awali kwa namba 7 hufuatia kuwa na mpango mpya wa maisha ya mwanadamu aliyemuumba kwa namba 8. Hili jambo ni hakika nalo litatimia kwa ukamilifu wake wote.

MENE, MENE, TEKELI & PERESI
 
Wanaendelea kumpiga chura take!

No wonder Polisi wamejidai kusitisha wito wa kumuita Lissu kwani ingekuwa ni too much kwa hizi taasisi za serikali zote kumsghulikia mtu mmoja hivyo wakaona watuzuge eti aendelee na kampeni kumbe wameshamzuia...
Kwa Lissu hiyo siku saba kwake ni kama halftime.
 
Wanaendelea kumpiga chura take!

No wonder Polisi wamejidai kusitisha wito wa kumuita Lissu kwani ingekuwa ni too much kwa hizi taasisi za serikali zote kumsghulikia mtu mmoja hivyo wakaona watuzuge eti aendelee na kampeni kumbe wameshamzuia.
Wapuuzi, eti wamewaweka NRA, hiyo ni baada ya Lissu kuwambia hakuna Mlalamikaji. Kwa kweli UYohana akichukua mingine mitano watu watapata shida sana!
 
Watu kama wewe unatutafutia ban kama tutasema pumbav. Unaambiwa kamati ya maadili wewe unasema tume. Yaani unashinda JF bila uelewa kiasi hiki?
Hiyo kamati ya maadili inaundwa na viongozi wa dini?

Hiyo kamati ya maadili inaitishwa na nani?

Kihemia alipotangaza Tundu Lissu aende kamati ya maadili alikuwa akiongea kama kiongozi wa TFF?
Namimi nasema "pumbavu"
 
NILIPANGA KUIPA KURA CCM ILA KWA UONEVU HUU NAMPIGIA KURA LISSU
Yaani hawa wapuuzi wana punguza kura za Ccm bila wao kujua. Ina kera kuona matendo ya kipuuzi yanayo fanywa na Ccm bila kukemewa halafu ati Lissu ndie mwenye makosa.
Tukutane 38/10
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi...
Kwa hiyo hao NRA nao walilalamika kwamba Lissu anamtuhumu Magufuli kuwaita wakurugenzi?
Mambo mengine ya kula njama na kupanga hujuma ni ya kitoto sana kiasi cha kuwapa watu wenye kuwaza big kufikiria na kuhoji namna ya utendaji kazi wa akili ya mtu mweusi.

Sasa kwa mfano Lissu akikataa hiyo adhabu kwa maana ya kwamba NEC haijafuata taratibu na sheria zao za uchaguzi itakua je
Hata hivyo tunaona Magufuli akienda likozo sambamba na zile siku anazofungiwa. Maana ya hii likizo ni mawili.

1 huenda Magu ameogopa kupata reaction ya umma atakapokuwa kwenye kampeni na au.

2 Magu anaogopa spana za Lissu na jinsi atakavyokuwa amemwacha mbali wakati aikiwa likizo.
 
Mbona haijawekwa , 'for foreign audience' hapo post ya kwanza. Maana ndicho baadhi ya watu fulani wanakitaka.
 
Back
Top Bottom