Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi wakati ndio huu sasa tuone vile vitisho vyenu mkifanya kwa vitendo..Imefika wakati wahutu wote nchini wasakwe warudishwe kwao Burundi
Patamu hapa[emoji373][emoji373][emoji373][emoji373]
Piga spana hao
[emoji373][emoji373][emoji373]View attachment 1588231
Sijui umeuliza Nini wakati maelezo ya swali nimetoa ,Bila chama hao wagombea watakuwepo?
Kinukishen bwana. Si huwa mnasema olewake mtu athubutu?Mfu
Mfuteni bwana. Msitishe watu hapa,vinafanywa vitwa vya maajapu Sana ,na naona mnabeti na amani ya nchi hii,we unafikili kikinuka upo salama na familia yako,Hali Kama hii lazima kupingwa na Kila mmoja anae litakia mema taifa hili,acheni kabisa wewe na tume yako
You know what is next move will be atajifanya anataka kuingia kitaa kwa lazima..
yaani kila anapopita lazima amponde Magufuli na CCM yaani analazimisha yaani
Naona wazidi kutusifu.mashabiki wa tundu lisu naona ni kama ma-feminist vichaa/lgbtq activists.
Mlikubali kuingia kwenye kampeni kwa kusurutishwa?Hizo kanuni za uchaguzi hawakuzikubali, bali walishurutishwa kuzikubali vinginevyo wasingekubali kusaini wasingeruhusiwa kushiriki uchaguzi.
Kumbe ndo mpango wenu kwamba watu wingie barabarani ,haya bwana naona wewe unaishi nyumba ya chuma kwamba huna mashaka ,ila sir tunao ishi nyumba ya udongo ,tunaomba lisitokee maana madhara yake kwetu tunaona ni makubwaKinukishen bwana. Si huwa mnasema olewake mtu athubutu?
Sasa huwa mnamtishia nani? Kila siku hooo wajaribu waone, haya wamejaribu sasa kinukisheniKumbe ndo mpango wenu kwamba watu wingie barabarani ,haya bwana naona wewe unaishi nyumba ya chuma kwamba huna mashaka ,ila sir tunao ishi nyumba ya udongo ,tunaomba lisitokee maana madhara yake kwetu tunaona ni makubwa
Walikulalamikia we peke yako, mbona awakusema hadharani yepi awakubaliani nayo.Hizo kanuni za uchaguzi hawakuzikubali, bali walishurutishwa kuzikubali vinginevyo wasingekubali kusaini wasingeruhusiwa kushiriki uchaguzi.
Kiamsheni tushachoka mikwara yenu si mnajiamini anzisheni hayo mnayotaka tuone na hao wazungu wakija kuwasaidia tunataka kushuhudia liveKumbe ndo mpango wenu kwamba watu wingie barabarani ,haya bwana naona wewe unaishi nyumba ya chuma kwamba huna mashaka ,ila sir tunao ishi nyumba ya udongo ,tunaomba lisitokee maana madhara yake kwetu tunaona ni makubwa