Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

[emoji373][emoji373][emoji373][emoji373]

Piga spana hao

[emoji373][emoji373][emoji373]
Screenshot_20201002-163341.jpg
 
Chuma kimegoma, kitaendelea na kampeni Jumapili.

safi sana. Tundu Lissu ni habari nyingine wacha mchezo!

Ukisoma aya ya 2, inadai walalamikaji ni NRA na CCM. Nimeona barua imeeleza mambo 2 yanayolalamikiwa na NRA. Lakini nimesoma mpaka mwisho sijaona malalamiko yaliyotolewa na mlalamikaji wa pili. Tume wameshindwa nini kusema mlalamikaji ni NRA tu? Sioni umakini wa NEC kabisa ni kama zile barua za Polisi. Hawa wasomi mbona hawako makini.
 
kama hamjui, LISSU sio LOWASSA

Wajinga wameingia lwenye mtego wa mwanasheria.

HAHhaha Tarehe 4 anaendelea na kampeni zake...

Mmpige Bomu?

Mmuondoe kwenye Uchaguzi?

DUNIA IKIWAANGALIA IVIIVI
 
kama kafungiwa siku saba sasa atakuwa amebakiwa na wiki 2 tu za kumalizia kampeni, ili tuingie kwenye DEBEEEE
 
Mfu

Mfuteni bwana. Msitishe watu hapa,vinafanywa vitwa vya maajapu Sana ,na naona mnabeti na amani ya nchi hii,we unafikili kikinuka upo salama na familia yako,Hali Kama hii lazima kupingwa na Kila mmoja anae litakia mema taifa hili,acheni kabisa wewe na tume yako
Kinukishen bwana. Si huwa mnasema olewake mtu athubutu?
 
You know what is next move will be atajifanya anataka kuingia kitaa kwa lazima..

Hizo kanuni za uchaguzi hawakuzikubali, bali walishurutishwa kuzikubali vinginevyo wasingekubali kusaini wasingeruhusiwa kushiriki uchaguzi.
 
Kweli Polepole nafasi aliyonayo ndani ya Chama chake, anaitendea haki. Hongera zake nyingi. Anajibu maswali kwa ufasaha.
 
mashabiki wa tundu lisu naona ni kama ma-feminist vichaa/lgbtq activists.
Naona wazidi kutusifu.
Kama nia ni kututukana ndugu basi nenda kwa Polepole ukatafute tusi lingine
feminist -advocating social, political, legal, and economic rights for women equal to those of men; an advocate of such rights.
Karibu tena
🤣 🤣🤣🤣🤣
 
Hizo kanuni za uchaguzi hawakuzikubali, bali walishurutishwa kuzikubali vinginevyo wasingekubali kusaini wasingeruhusiwa kushiriki uchaguzi.
Mlikubali kuingia kwenye kampeni kwa kusurutishwa?
 
Kinukishen bwana. Si huwa mnasema olewake mtu athubutu?
Kumbe ndo mpango wenu kwamba watu wingie barabarani ,haya bwana naona wewe unaishi nyumba ya chuma kwamba huna mashaka ,ila sir tunao ishi nyumba ya udongo ,tunaomba lisitokee maana madhara yake kwetu tunaona ni makubwa
 
Sasa huwa mnamtishia nani? Kila siku hooo wajaribu waone, haya wamejaribu sasa kinukisheni
 
Hizo kanuni za uchaguzi hawakuzikubali, bali walishurutishwa kuzikubali vinginevyo wasingekubali kusaini wasingeruhusiwa kushiriki uchaguzi.
Walikulalamikia we peke yako, mbona awakusema hadharani yepi awakubaliani nayo.

Lissu anadi sera zake za kuruhusu wafugaji kuingia mbugani, sijui kuongeza mishahara, kufuta kodi na porojo zingine. Sidhani kama kuna mtu angekuwa na shida nae tatizo ni huku kujifanya yeye ndio ‘alpha and omega’ ndani ya Tanzania.
 
Kumbe ndo mpango wenu kwamba watu wingie barabarani ,haya bwana naona wewe unaishi nyumba ya chuma kwamba huna mashaka ,ila sir tunao ishi nyumba ya udongo ,tunaomba lisitokee maana madhara yake kwetu tunaona ni makubwa
Kiamsheni tushachoka mikwara yenu si mnajiamini anzisheni hayo mnayotaka tuone na hao wazungu wakija kuwasaidia tunataka kushuhudia live
 
tutoe wito kwa wagombea wetukuwa na staha na siasa safi.Tusipende kupimana ubavu na hawa jamaa.fanya kampen kistaarabu mwaga sera.huo ndio wito wetu sisi hapa wana ufipa.hatutak kupelekeshwan.amani kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom