Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Hiyo project naifikiria sana nimeona fursa ipo kwenye kufungua kanisaKama akina Masanja wamefungua kanisa wewe unakwama wapi mkuu? Hadi kiboko ya wachawi anakuzidi ujanja? Fungua kanisa upige chekeli.