Mhasibu, Afisa TEHAMA wa Kanisa la SDA wapandishwa kizimbani kwa Wizi wa Tsh. Milioni 717

Mhasibu, Afisa TEHAMA wa Kanisa la SDA wapandishwa kizimbani kwa Wizi wa Tsh. Milioni 717

Kama akina Masanja wamefungua kanisa wewe unakwama wapi mkuu? Hadi kiboko ya wachawi anakuzidi ujanja? Fungua kanisa upige chekeli.
Hiyo project naifikiria sana nimeona fursa ipo kwenye kufungua kanisa
 
Hao CRDB wameniblock eti kwenye acc yangu.
Miaka miwili sasa wanasema haiko active,
Wakati mpaka last time 1.5 year ago tulikua vizuri tu.
Wanasema wameupdate internet banking.
Wtf kuupdate internet banking,si muhamishe tu info za mwanzo muweke huko mlikoupdate.
Sasa imekua nipeleke mavyeti yoote ili wakamilishe hilo.
Wanavyo hivyo vitu mbwa hawa tunawaona humu mtaani na matai zao na mitumbo imejaa mavitimoto ni wajinga sana.
We subiri tu nawatafutia dawa.
 
Washitakiwa hao ni ofisa Tehema, Wilson Mapande (35) mhasibu, Winnie Owino (33) na mfanyabiashara, Nicolaus Owino (29).

Watatu hao wamefikishwa mahakamani hapo jana Septemba 25, 2024 na kusomewa mashitaka na Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga akishirikiana na Wakili wa Serikali, Aaron Titus.
Wasabato wana mambo mengi sana nyuma ya Pazia.

Musiba
Sabaya
Ogutu
Yule wa Longido
 
Hii nchi ngumu sana. Hata kule KKKT usione akina Malasusa wanapang'ang'ania. Sio bure. Wanatumia hadi ndumba kuingia madarakani ili tu wapige hela. Hakuna cha kutumikia Mungu wala nini Watu wanatumikia matumbo yao.
Hahahaaa
 
Malasusa pasta wa ccm?
 
Safi kabisa, wengi wamekua wakiiba kwenye taasisi za dini na hatua hazichukuliwi wanasema wanamuachia Mungu tu, ndiyo maana watu wamekua hawana hofu

Hapa wasabato wamesaidia kukumbusha hata kwenye dini huko bado unaweza kushtakiwa ukifanya ubadhirifu sasa hao GEN Z wajiandae kuzitapika hizo mali za Bwana na wale wote walioshirikiana
 
sema unaongozwa na roho ya chuki mkuu, ubaya uko wapi mbona watu wanajimegea keki ya taifa mdg mdg

acha watu wale maisha hizo fedha hazikuwa za kujenga miundombinu
 
Taasis za dini zilipe kodi

Halafu wasabato hupinga TEHAMA imekuwaje tena Wana hadi afisa?
 
Back
Top Bottom