Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

Kweli kelphin sio rais wa Tanzania

Wangejua hawajui
Ukiuwa utakufa kifo kibaya mala mbili yake

Yaan hao ningewachomoa kiungo kimoja kimoja
 
Humu kila mtu anaongea lake, lakini huyo dada aliyekuwa mchumba wake ni rafiki yangu sana wamekuwepo kwenye mahusiano kwa miaka sita na mwaka huu ndiyo walikuwa wamepanga waoane.
Hebu eleza kwa undani zaidi
 
Duuuh kumbe wahasibu wanapitia magumu hivi?? Tobaaaaaah
 
Huyu Martha Towa aliungua tarehe 3,March,akapelekwa hospitali. Amekufa tarehe 9. Kwa hiyo presumably alikuwa anazungumza na polish. And yet polisi wanasema hiki kifo ni utata mtupu.

Polisi hufanya hivyo wakiwa na maana kuwa wale walio husika kikamilifu wasije wakakimbia
Police huwa wana sababu zao muhimu!
 
Cheo dhamana! Unaweza kuta alikua mkuda
Kama alikataa kidhinisha miamala ya mabilioni ya hela zilizopindishwa kona kutoka MSD ili ku subsidize bei za madawa, bado tumwite MKUDA ?

Nimeanza kuamini kwamba huku third world we don"t have what it takes to be developed. We just dont have the right mentality to get there.

Sio hatuna akili, hapana, hatuna mtazamo au the right mentality inayotakiwa. Baada ya kukaa sana Ulaya nilikuja gundua tabia yao moja inayowasukuma ni UNOKO. Wao wangesema moral principles.
 
Nimekumbuka na ile story ya binti alikuwa anasoma chuo Bagamoyo nadhan
aliitwa na boyfriend watoke out sijui alikuwa boyfriend au la ,akapelekwa porin huko akabakwa na kuuawa alikuwa mtoto wa dada ake Meck Sadik ex mkuu wa mkoa,sijui iliishia wapi ,sijui walikamatwa
Vitu vinasikitisha sana walaaniwe wote hadi vizazi vyao wanaojipa mamlaka ya kuua wenzao
 
Unafikiri First world ndio amna
 
Dah[emoji24][emoji24] huyu dada namjua nilishamkuta BOA kahama alikuwa na kigari flani kama sikosei ni ractis nyeupe aiseee polisi wachunguze kwann mwanamke achomwe moto Bora angekuwa mwanamme tungesema hata labda alidhurumu, REST IN PEACE TOWA

Duuuh kwaiyo wanawake wenyewe ni maraika wa heli awaibi wala awadhulumu duuh kwel umewaza
 
Kunawatu ni weupe kiupeo




Nchi zilizoendelea ndo Kuna Criminal Rate ya Hali ya kuuu Kwa taarifa zenu.


Kuna nchi Hadi waziri mkuu alipotea hajapatikana mpaka Leo.

Kuna nchi Kila baada ya miaka flani rais anakula za uso na anapotezwa
 
Itafutwe sababu kwanini aliacha kazi. Waanze kuconnect the dots kuanzia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…