Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Dezain iyo ni ya kuwapiga miti tu. Mimi nilikuwa nafanyaga usafi kampuni moja kubwa ulaya madem wasomi kweli kweli lakini nilikuwa nawapiga miti changing room zao halafu baada ya hapo kila mtu na zake. Sasa siku zingine nawaona supermarket na waume zao wameshikana mikono kwa furaha nabaki kuhuzunika tu.

KAMWE SITAKI KUOA

#KATAA NDOA

#NDOA NI MAUTI

#IWE NDOA SIJUI COHABITANT, SIJUI PERMANENT RELATIONSHIP YAANI ZOTE HIZO KATAA.

# NDOA NI BLADIFAKEN
Ila pale jamaa hajatosha ile pisi ina mambo mengi inamuhurumia tu mwamba
 
Nasemaaa hakuna Mwanamke yeyote asielika ni juhudi tu za mlaji tu na PESA so jifunze kubalance shoboo kwa mkeooo usimuoneshe kuwa bila yeye Hutambaii yani yeye ndo dunia yako aisee utakufaa mapema...!! Mjali mwanamke ila Usimpendee kupitiliza. Niki kwa mshahara wa Mkuu wa wilaya bila madili hatoboi kwa ile pisiii.. Pisi yenyewe imemaliza CPA with top GPA kama halipwi kwa dollar nimekaaa paleee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa nick atamwambia nini manzi wakati pesa ashazidiwaaa...???
Kweli, plus konnection za washika dau huko top.

thubutu, Nick hapo atakuwa alikumbatia mzinga wa nyuki.

Sent from my itel W4001P using JamiiForums mobile app
 
Kwani hata ukioa kanisani hayo makaratasi yanakuzia usiache mke kama anazingua?!,mm kwangu hayo ni makaratasi tuu hayawezi kunifanya niache kufanya yangu
Process yake inausumbufu mwingi

Plus mpumbavu Mmoja atataka mgawane mali sawa kwa kosa lake la umalaya.


Kumbuka km huwezi kuwa selfish man basi modern dating is not for you..

Mapenzi ya sasa yanataka wanaume wabinafsi maana wanawake wasasa hawana huruma na shukrani hata kidogo.

Sasa ndoa ya kanisani Ina process ndefu Sana kuingia na kutoka.Ita cheza resources zako kwa upumbavu wa Mtu mwingine...be smart enough to avoid that..

Ishi nae kinyumba..hayo makaratasi yanawapa kiburi
 
Leo kanisani imezungumziwa hio sasa wanakuja na mbinu mpya ya kuwaozesha kwa lazima sio kwa hiari na wataozesha kwa pamoja yaan magroup yaan sio ile tena mnafunga mmoja mmoja na kwenda ukumbini mmoja mmoja hii mnaenda kusherehekea pamoja km kikundi maana wamegundua wengine wanashindwa kufunga ndoa kutokana na ugumu wa Maisha kwa hio watakua wanawachangia km kikundi [emoji23]

KATAA NDOA
Siendi tu

Simple

Ishi na mwanamke ila kihuni
 
Kwanza demu wa kawaida sana hana ule uzuri wa sana kwa Nikki still anaweza kupata zaidi yake wala asiwaze.

Mazingira haya ni hatar demu alipopiga CPA kali zile Top big auditing firms zote zilikuwa zinamgombania na kule watu wanashika pesa ndefu na safari za kwenda majuu..sasa jamaa yule wa weusi trip zake kweny vumbi huko pwani wenzie mara anaenda UK ,Dubai wapi na wapi[emoji848]

Tatizo la jamaa yetu demu wa kawaida sana hana hata mzuka ila anaexaggerate sana kumsifia wengi walimkanya sana ..Mara aimbe sweet Mangi ndo hapo .
Hivi ni kosa kumsifia mkeo?? Mbona naona kama imekuwa tatizo sana ukionekana unamsifia mkeo, watu huanza kumtakia mabaya, hii si sawa waungwana.
 
Yaani huyu ndo mwanamke Sasa anakuacha pazuri usitafute pa kuhemea

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Joan alikuwa hampendi Nick, ila alitafuta angle nzuri ya kummbwagaa, na kaipataa hajalaza damu mtoto kayeyukaaaa yeyuuuuu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]rrr
 
Kwani ma DC wana nini sasa ? Ambao tunakolomeana nao na kuishia kututisha kutuweka ndani.. nje hapo ni 🥲🥲🥲🥲.. ndio maana watu makini huwezi waingiza mkenge kwa UDC labda wilaya za madili kama ....... nje hapo DC mweupe sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata km ankoliii, wasio jua ndo hvyooo.
 
Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mkewa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu

Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi kwenu.
Sita ongea kitu aisee wasije wakaniingiza kwenye group pinzani😂😂😂
 
Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mkewa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu

Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi kwenu.
Nitumie pm ntakulipa
 
Back
Top Bottom