Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Ukioa Malaya ni hakika atagongwa

Tatizo tulilo nalo 75% ni malaya nowadays

Hapa ndo tunarudi kwenye point vijana msioe kwa ndoa wekeni wanawake kinyumba bila ndoa ili mda wowote ule unaacha unapita zako kushoto...miliki ghetto kali huwezi kukosa mwanamke wa kung'ang'ania humo hapo ndo unazalisha mnaishia kihunihuni likibumbuluka unapita kushoto easy in easy out...muwe smart vijana

Sheria ya miezi 6 haina prove ya uhakika mahakamani ipuuzieni...

Msiwe wepesi kuoa makanisani labda km muislam...
Leo kanisani imezungumziwa hio sasa wanakuja na mbinu mpya ya kuwaozesha kwa lazima sio kwa hiari na wataozesha kwa pamoja yaan magroup yaan sio ile tena mnafunga mmoja mmoja na kwenda ukumbini mmoja mmoja hii mnaenda kusherehekea pamoja km kikundi maana wamegundua wengine wanashindwa kufunga ndoa kutokana na ugumu wa Maisha kwa hio watakua wanawachangia km kikundi 😂

KATAA NDOA
 
Masanja anapata faraja anajisemea tu kumbe siko pekee yangu. Halafu Huyo wa Nikki na wa Masanja wote wasukuma.
Ile shoo ya Niki wa pili inaonekana imekubuhu Ile. Mana nliingalia nkaifananisha na dem moja ya kihaya huwa inatakaga shoo ya kunyoosha viungo. Unapiga miti mpaka wote mnaona kizunguzungu... Bora atafte wachov wenzie mana kila wikend inabid uongezew Drip Kwa shoo zile
 
Unasomesha Malaya CPA unategemea nini km sio kugongewa ulisikia wapi Malaya anasomeshwa?

Wanawake wengi walioolewa wanapigwa sana miti nje ya ndoa yaan saaana bila wanaume zao kujua na sio kwamba wanapigwa kawaida namaanisha wanapigwa miti sana

Maana nje anaenda kupoza ukame na jamaa anaekutana nae anataka kuchukua point 3 kwa hio hua hachezi fyongo anapiga dudu haswa, fukua vilivyo sasa mwanaume uonyeshwe yaliyokua yanafanyika mbele ya camera unachoka ulikua hujui Ila hajaanza Jana juzi katoka kugongwa kwenye gari uliyomnunulia

KATAA NDOA
Bado hakuna sababu ya kukataa ndoa. Fanyeni mambo yenu binafsi kama umalaya na kadhalika ila msiwapotoshe watu kwa sababu kama hizi. Huyo ni sawa na punje moja ya chuya katika kilo ya mchele hawezi kuwa sababu ubwabwa usiliwe.
 
Yaani mtu unaacha shughuli zako za kuitafutia familia yako ugali unatenga mda wa kuja JF kushabikia matatizo ya mwenzako mitandaoni kweli!!?

Usikute wewe ni sehemu ya tatizo hili sema unajifanya umenyapia hii habari na kuileta humu mtandaoni kutimiza chuki zako, wewe ni mjinga huna akili.
 
Bado hakuna sababu ya kukataa ndoa. Fanyeni mambo yenu binafsi kama umalaya na kadhalika ila msiwapotoshe watu kwa sababu kama hizi. Huyo ni sawa na punje moja ya chuya katika kilo ya mchele hawezi kuwa sababu ubwabwa usiliwe.
Umeshawahi kuchapiwa ukagundua kwamba umechapiwa au haujawahi kuchapiwa ukagundua hapa nmechapiwa?

Tuanzie hapo kwanza...
 
Mzee wa sitaki kazi
Sasa wahuni wamempakaa mafuta..

KATAA NDOA
Screenshot_20230219-145209.png
 
Ukioa Malaya ni hakika atagongwa

Tatizo tulilo nalo 75% ni malaya nowadays

Hapa ndo tunarudi kwenye point vijana msioe kwa ndoa wekeni wanawake kinyumba bila ndoa ili mda wowote ule unaacha unapita zako kushoto...miliki ghetto kali huwezi kukosa mwanamke wa kung'ang'ania humo hapo ndo unazalisha mnaishia kihunihuni likibumbuluka unapita kushoto easy in easy out...muwe smart vijana

Sheria ya miezi 6 haina prove ya uhakika mahakamani ipuuzieni...

Msiwe wepesi kuoa makanisani labda km muislam...
Mama yako hakuolewa alikuwa anawekwa ndani tu kisela sela?
 
Wewe ushawahi kuchapiwa?
Siri ya ndani hio mwanaume hua anavunga ndio maana tumewekewa koromeo, hakuna mwanaume asiechapiwa hakuna hata uwe na cheo gani au na pesa kiasi gani mkeo lazima achapwe tu hata na house boi shamba boi driver mtu unaemuamini atamchapa mkeo tu hata rafiki yako wa karibu anaweza kukuchapia saafi maana ndicho wanachokitaka hawa viumbe kuchwapwa na kuzalishwa haijalishi ana cheo gan au anafanya harakati gan mwisho wa harakati zake lazima apanue wamchape, ushaelewa au nianze na moja?
 
Back
Top Bottom