Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Haujaipata video bado?Je? Mna ushahidi au story tu za vijiweni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haujaipata video bado?Je? Mna ushahidi au story tu za vijiweni
Shape ya kawaida ila sura nzuri na rangi imepoa sana. Kiufupi ni mwanamke mzuri ila ndio ivyo kama haleti amani ndani ya nyumba uzuri wote unafutika
Leo kanisani imezungumziwa hio sasa wanakuja na mbinu mpya ya kuwaozesha kwa lazima sio kwa hiari na wataozesha kwa pamoja yaan magroup yaan sio ile tena mnafunga mmoja mmoja na kwenda ukumbini mmoja mmoja hii mnaenda kusherehekea pamoja km kikundi maana wamegundua wengine wanashindwa kufunga ndoa kutokana na ugumu wa Maisha kwa hio watakua wanawachangia km kikundi 😂Ukioa Malaya ni hakika atagongwa
Tatizo tulilo nalo 75% ni malaya nowadays
Hapa ndo tunarudi kwenye point vijana msioe kwa ndoa wekeni wanawake kinyumba bila ndoa ili mda wowote ule unaacha unapita zako kushoto...miliki ghetto kali huwezi kukosa mwanamke wa kung'ang'ania humo hapo ndo unazalisha mnaishia kihunihuni likibumbuluka unapita kushoto easy in easy out...muwe smart vijana
Sheria ya miezi 6 haina prove ya uhakika mahakamani ipuuzieni...
Msiwe wepesi kuoa makanisani labda km muislam...
Ile shoo ya Niki wa pili inaonekana imekubuhu Ile. Mana nliingalia nkaifananisha na dem moja ya kihaya huwa inatakaga shoo ya kunyoosha viungo. Unapiga miti mpaka wote mnaona kizunguzungu... Bora atafte wachov wenzie mana kila wikend inabid uongezew Drip Kwa shoo zileMasanja anapata faraja anajisemea tu kumbe siko pekee yangu. Halafu Huyo wa Nikki na wa Masanja wote wasukuma.
Bado hakuna sababu ya kukataa ndoa. Fanyeni mambo yenu binafsi kama umalaya na kadhalika ila msiwapotoshe watu kwa sababu kama hizi. Huyo ni sawa na punje moja ya chuya katika kilo ya mchele hawezi kuwa sababu ubwabwa usiliwe.Unasomesha Malaya CPA unategemea nini km sio kugongewa ulisikia wapi Malaya anasomeshwa?
Wanawake wengi walioolewa wanapigwa sana miti nje ya ndoa yaan saaana bila wanaume zao kujua na sio kwamba wanapigwa kawaida namaanisha wanapigwa miti sana
Maana nje anaenda kupoza ukame na jamaa anaekutana nae anataka kuchukua point 3 kwa hio hua hachezi fyongo anapiga dudu haswa, fukua vilivyo sasa mwanaume uonyeshwe yaliyokua yanafanyika mbele ya camera unachoka ulikua hujui Ila hajaanza Jana juzi katoka kugongwa kwenye gari uliyomnunulia
KATAA NDOA
Umeshawahi kuchapiwa ukagundua kwamba umechapiwa au haujawahi kuchapiwa ukagundua hapa nmechapiwa?Bado hakuna sababu ya kukataa ndoa. Fanyeni mambo yenu binafsi kama umalaya na kadhalika ila msiwapotoshe watu kwa sababu kama hizi. Huyo ni sawa na punje moja ya chuya katika kilo ya mchele hawezi kuwa sababu ubwabwa usiliwe.
Sasa wahuni wamempakaa mafuta..Mzee wa sitaki kazi
😂 hii habari ni mpya kwangu
Wewe ushawahi kuchapiwa?Umeshawahi kuchapiwa ukagundua kwamba umechapiwa au haujawahi kuchapiwa ukagundua hapa nmechapiwa?
Tuanzie hapo kwanza...
Mama yako hakuolewa alikuwa anawekwa ndani tu kisela sela?Ukioa Malaya ni hakika atagongwa
Tatizo tulilo nalo 75% ni malaya nowadays
Hapa ndo tunarudi kwenye point vijana msioe kwa ndoa wekeni wanawake kinyumba bila ndoa ili mda wowote ule unaacha unapita zako kushoto...miliki ghetto kali huwezi kukosa mwanamke wa kung'ang'ania humo hapo ndo unazalisha mnaishia kihunihuni likibumbuluka unapita kushoto easy in easy out...muwe smart vijana
Sheria ya miezi 6 haina prove ya uhakika mahakamani ipuuzieni...
Msiwe wepesi kuoa makanisani labda km muislam...
Alijikita kwenye kuanzisha nyuzi za kumsema TAL akasahau majukumu yake ya kindoa, hatari sana
Siri ya ndani hio mwanaume hua anavunga ndio maana tumewekewa koromeo, hakuna mwanaume asiechapiwa hakuna hata uwe na cheo gani au na pesa kiasi gani mkeo lazima achapwe tu hata na house boi shamba boi driver mtu unaemuamini atamchapa mkeo tu hata rafiki yako wa karibu anaweza kukuchapia saafi maana ndicho wanachokitaka hawa viumbe kuchwapwa na kuzalishwa haijalishi ana cheo gan au anafanya harakati gan mwisho wa harakati zake lazima apanue wamchape, ushaelewa au nianze na moja?Wewe ushawahi kuchapiwa?
Ata kuwa malaya uyo manzi nasikia sio mala ya kwanza kuna kigogo fulani nae alipiga gest fulaniMjini kuna mambo san. Sema hii ya mwanaume kufurahia mwanaume mwenzio kuchapiwa haijakaa poa.