fh kwenye beat
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 493
- 608
Ila pale jamaa hajatosha ile pisi ina mambo mengi inamuhurumia tu mwambaDezain iyo ni ya kuwapiga miti tu. Mimi nilikuwa nafanyaga usafi kampuni moja kubwa ulaya madem wasomi kweli kweli lakini nilikuwa nawapiga miti changing room zao halafu baada ya hapo kila mtu na zake. Sasa siku zingine nawaona supermarket na waume zao wameshikana mikono kwa furaha nabaki kuhuzunika tu.
KAMWE SITAKI KUOA
#KATAA NDOA
#NDOA NI MAUTI
#IWE NDOA SIJUI COHABITANT, SIJUI PERMANENT RELATIONSHIP YAANI ZOTE HIZO KATAA.
# NDOA NI BLADIFAKEN
Unaambiwa Kabudi kitu alichomfanyia iyo pisi Paris ufaransa. Kabudi nimnyanyulia mikono. Sasa iyo ndo kuacha legasiIla pale jamaa hajatosha ile pisi ina mambo mengi inamuhurumia tu mwamba
Umesahau kama ni mwili mmoja?Kmmk kwani manzi/mke akitombwa mume nae anakua ametombwa
Huyu huyu mr miatisa na kenda aka kabudi lectureUnaambiwa Kabudi kitu alichomfanyia iyo pisi Paris ufaransa. Kabudi nimnyanyulia mikono. Sasa iyo ndo kuacha legasi
Dj Ally B anajua kuwa anatuharibia watu huku mtaani 😂Nasemaje nasemaje biga bomu la mwishooo! paaaaaaaaaaaaaa!
Kweli, plus konnection za washika dau huko top.Nasemaaa hakuna Mwanamke yeyote asielika ni juhudi tu za mlaji tu na PESA so jifunze kubalance shoboo kwa mkeooo usimuoneshe kuwa bila yeye Hutambaii yani yeye ndo dunia yako aisee utakufaa mapema...!! Mjali mwanamke ila Usimpendee kupitiliza. Niki kwa mshahara wa Mkuu wa wilaya bila madili hatoboi kwa ile pisiii.. Pisi yenyewe imemaliza CPA with top GPA kama halipwi kwa dollar nimekaaa paleee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa nick atamwambia nini manzi wakati pesa ashazidiwaaa...???
[emoji51][emoji3061]AY ajaachana kaachwa. Siku hizi jamaa hata sura yake haina furaha huzuni. Mcheki.View attachment 2522891
kumbe AY alishaachana na mke wake? da hizi ndoa za siku hizi!Mh DC wa pili atakua kajifunza sasa
Hata AY alisha achana na remi yule mke wake ...sahv anatoka na li black America
Mc pilipili akae mkao wa kula asipobadilika itakula kwake
Process yake inausumbufu mwingiKwani hata ukioa kanisani hayo makaratasi yanakuzia usiache mke kama anazingua?!,mm kwangu hayo ni makaratasi tuu hayawezi kunifanya niache kufanya yangu
Siendi tuLeo kanisani imezungumziwa hio sasa wanakuja na mbinu mpya ya kuwaozesha kwa lazima sio kwa hiari na wataozesha kwa pamoja yaan magroup yaan sio ile tena mnafunga mmoja mmoja na kwenda ukumbini mmoja mmoja hii mnaenda kusherehekea pamoja km kikundi maana wamegundua wengine wanashindwa kufunga ndoa kutokana na ugumu wa Maisha kwa hio watakua wanawachangia km kikundi [emoji23]
KATAA NDOA
Hivi ni kosa kumsifia mkeo?? Mbona naona kama imekuwa tatizo sana ukionekana unamsifia mkeo, watu huanza kumtakia mabaya, hii si sawa waungwana.Kwanza demu wa kawaida sana hana ule uzuri wa sana kwa Nikki still anaweza kupata zaidi yake wala asiwaze.
Mazingira haya ni hatar demu alipopiga CPA kali zile Top big auditing firms zote zilikuwa zinamgombania na kule watu wanashika pesa ndefu na safari za kwenda majuu..sasa jamaa yule wa weusi trip zake kweny vumbi huko pwani wenzie mara anaenda UK ,Dubai wapi na wapi[emoji848]
Tatizo la jamaa yetu demu wa kawaida sana hana hata mzuka ila anaexaggerate sana kumsifia wengi walimkanya sana ..Mara aimbe sweet Mangi ndo hapo .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Joan alikuwa hampendi Nick, ila alitafuta angle nzuri ya kummbwagaa, na kaipataa hajalaza damu mtoto kayeyukaaaa yeyuuuuu.Yaani huyu ndo mwanamke Sasa anakuacha pazuri usitafute pa kuhemea
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapo watahangaika naeOa mwanamke mbaya tosha. Cheusi Mangala nani atahangaka naye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata km ankoliii, wasio jua ndo hvyooo.Kwani ma DC wana nini sasa ? Ambao tunakolomeana nao na kuishia kututisha kutuweka ndani.. nje hapo ni 🥲🥲🥲🥲.. ndio maana watu makini huwezi waingiza mkenge kwa UDC labda wilaya za madili kama ....... nje hapo DC mweupe sana
Sita ongea kitu aisee wasije wakaniingiza kwenye group pinzani😂😂😂Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mkewa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu
Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi kwenu.
Nitumie pm ntakulipaWazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mkewa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu
Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi kwenu.
RushaHaujaipata video bado?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii thread imejaa wanaume wenye wivu
Tumeshawasili tiyari [emoji23][emoji23][emoji23]Asitiriwe, Wazee wa kataa ndoa watakuja kwa kasi hapa.