Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Kuanza kuishi bila ndoa hiyo ni moja ya sababu watu kuachana. Nikki haendani kabisa na ile Tandam.... cha muhimu kashaitafuna kwa miaka kadhaa awaachie wengine sasa.. muda wake ushapita.

Demu mkali halafu kipanga wa hatari kwenye uhasibu... kwa vyovyote vile ilikuwa lazima Nikki aachwe.
 
Kuanza kuishi bila ndoa hiyo ni moja ya sababu watu kuachana. Nikki haendani kabisa na ile Tandam.... cha muhimu kashaitafuna kwa miaka kadhaa awaachie wengine sasa.. muda wake ushapita. Demu mkali halafu kipanga wa hatari kwenye uhasibu... kwa vyovyote vile ilikuwa lazima Nikki aachwe.
Duuh! Mzee kama ulikuwa unasubiri kwa hamu agongewe😄😄
 
Duuh! Mzee kama ulikuwa unasubiri kwa hamu agongewe😄😄
Hapana mkuu. Ni jambo lililokuwa wazi sema ndo tulikuwa hatujui siku wala saa atakapokuja yule mgongaji wa ile Tandam... Joan ni kitu kikali mno.

Ana weupe wa asili sio mkorogo... demu kama yule huwa wanapenda watu wahuni wahuni tofauti na Nikki ambaye ana asili ya upole na utulivu.
 
Alivyokuwa akimpost sasa aiiiiiiiiiiiiii nacheka kama mazuri. Mimi nilijuwa hawafiki popote. Ati kisa mke ana shape basi anatupuruvia😅 na alivyo mrefu sasa, Mungu mdomo koma.

Namsubiri zama kwa hamu siku wadada wakiingia mzigoni atatueleza vizuri kama kweli ile range alinunua mme. Huwezi mtundika mme kwenye mbao za matangazo posta ukabaki salama.

Masanja sasa hivi kapoa tunapumua.
 
Back
Top Bottom