Nedlloyd
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 10,361
- 27,215
We na wewe mpana weweUko na ka video tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We na wewe mpana weweUko na ka video tuone
Alivyokuwa akimpost sasa aiiiiiiiiiiiiii nacheka kama mazuri. Mimi nilijuwa hawafiki popote. Ati kisa mke ana shape basi anatupuruvia[emoji28] na alivyo mrefu sasa, Mungu mdomo koma.
Namsubiri zama kwa hamu siku wadada wakiingia mzigoni atatueleza vizuri kama kweli ile range alinunua mme. Huwezi mtundika mme kwenye mbao za matangazo posta ukabaki salama.
Masanja sasa hivi kapoa tunapumua.
,، [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wanaume hawapendani.
Aliyafanya public mwenyeweNi mambo binafsi, msitirini mwenzenu
Mkuu nitumie linkWazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mkewa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu
Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi kwenu.
Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mkewa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu
Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi k
Afu amembwaga pazuri, jamaa akiwa DC ili ionekane kaamua tyuuh, maana vingnevyo wangesema kamtema jamaa kisa hana mkwanjaa.Ushu sio kuchapiwa. Demu baada ya kumaliza madomo na kufaulu vizuri kambwaga mhe.
Mheshimiwa tafuta aliyekuwa low key mbona wapo ila ule sawa nae Kielimu ya fedha au kakuzidi sio wako ..Nafikiri tufike hatua tuanzishe mtindo mpya wa kujenga familia pasipo watu kuwekana ndani, si wanaume si wanawake wote wanaiangaika kutafuta furaha nje ya ndoa.
Sasa sijui kwa nini tunazitakq hizo ndoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyieee watu mko serious hivi. LolAlivyokuwa akimpost sasa aiiiiiiiiiiiiii nacheka kama mazuri. Mimi nilijuwa hawafiki popote. Ati kisa mke ana shape basi anatupuruvia[emoji28] na alivyo mrefu sasa, Mungu mdomo koma.
Namsubiri zama kwa hamu siku wadada wakiingia mzigoni atatueleza vizuri kama kweli ile range alinunua mme. Huwezi mtundika mme kwenye mbao za matangazo posta ukabaki salama.
Masanja sasa hivi kapoa tunapumua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zama Hana bahati ya mapenzi ila ana mapenzi ya kweli mnooo
Shabani nadhani ana mtoto Kwa demu mwingine kama ntakua siku Ile nliskia vzr Kwa wale wambea,so whatever anafanya ni Ile 'acha nijishebedue mke mwenzangu anijue',na yule Mpana sana whatever they are showing us in public is not reality Huko kwenye Kuta nne kunafuka Moshi
Hata Ruge Zama alimpenda mnoo bahati mbaya tu jasiri Nae alikua kit...mb....mnooo
Ila Kwa kutulia ametulia mnoo yule dada na akipenda anapenda mnoo na mvumilivu na sidhani km ataondoka Kwa Sheby
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwamba wamempiga kibuti karuka kuleAfu amembwaga pazuri, jamaa akiwa DC ili ionekane kaamua tyuuh, maana vingnevyo wangesema kamtema jamaa kisa hana mkwanjaa.
Kamuachaa patamuuuu.
Tayari mtu kashapigiwa kipochi chake huko watu washatembeza rungu ngoja tusubiri, wanawake pasua kichwa...Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mkewa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu
Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi kwenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeaaaahKwamba wamempiga kibuti karuka kule
AiseeKwanza demu wa kawaida sana hana ule uzuri wa sana kwa Nikki still anaweza kupata zaidi yake wala asiwaze.
Mazingira haya ni hatar demu alipopiga CPA kali zile Top big auditing firms zote zilikuwa zinamgombania na kule watu wanashika pesa ndefu na safari za kwenda majuu..sasa jamaa yule wa weusi trip zake kweny vumbi huko pwani wenzie mara anaenda UK ,Dubai wapi na wapi🤔
Tatizo la jamaa yetu demu wa kawaida sana hana hata mzuka ila anaexaggerate sana kumsifia wengi walimkanya sana ..Mara aimbe sweet Mangi ndo hapo .
Mh wa Msoga ndio yupi huyo? Mi namjua JK we unamzungumzia nani?Sina hulka ya kufurahia matatizo ya mwenzangu haijalishi tumekwazana vipi.
Jamaa kumpost na kumsifia mke wake watu walikuwa wanachukia sana, nickson Simon Nikki wa pili sio wa kwanza kuchapiwa alichapiwa mh wa msoga sembuse nikki!
Watanzania tukiacha hii hulka ya kufurahia matatizo ya wenzetu tutapiga hatua kimaendeleo
Nenda kwenye jukwaa la kilimo, huwezi kukosa zinatembea sana pia.Uzi utatembea kwa speed ya 5g kuliko hata nyuzi za kilimo cha maboga na mboga mboga zinazotupatia afya. Wabongo tulilaanika hasa
yohu yohuMh wa Msoga ndio yupi huyo? Mi namjua JK we unamzungumzia nani?