Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Kwani hata ukioa kanisani hayo makaratasi yanakuzia usiache mke kama anazingua?!,mm kwangu hayo ni makaratasi tuu hayawezi kunifanya niache kufanya yangu
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Mi nashangaa eti watu wanaogopa sheria iliowekwa na binadamu mwenzao. Eti msitengane hadi kifo kikiwatenganisha. Mtu akileta umama anaachwa tu kiroho safi
 
Sio hana bahati she isn't cute at all. Demu kama Zama unakuwa nae sababu tu ana tabia nzuri ila kwa mvuto hana na vile kashazaa zaa hata ile kusema unainjoy K ni uwongo. Ni kumuonea huruma asiumie tu ila huwezi fake for long utatafuta ka cute bebi girl ili ufurahie active sex.

Zama ni mwanamke mwenye adabu but anaboa mapema na hakupi mwashawasha wa mapenzi kabisa. Atajitahidi ila unakuta tu hisia zinakuwa mbali sababu hakupi excitement kwa bed.

Mji huu ukiwa na jala ndio dah its really hard. Unakuwa na demu kama yule alee watoto tu ila for fun sex you gotta catch somebody else.
Kwa hiyo Zamaradi ana tabia nzuri, kweli dunia imeisha
 
Si busara wala ubinadamu kufurahia machungu ya mwanadamu mwenzako kwa namna yoyote Ile....

Mabaya yanawakuta watu na kuwa sisi ni watu kama walivyo wao basi na sisi pia tunaweza kukutwa na hayo mabaya.......

Si vyema kufurahia mateso ya mtu kwani hata sisi yanaweza kutukuta......

Tujifunze kufarijiana na kuoneana huruma........

Usaliti usione mbaya kwa kufanyiwa bali hata kwa kuufanya kwa mwenzio.....
Hawa ndio Watanzania. Likikutokea jambo baya wanafurahia, ikiwa ni jambo la mafanikio wananuna.
 
Kuna tetesi hawa watu wana bifu fulani, Mwenye kuelewa kwa kina atujuze!
 

Attachments

  • FB_IMG_1676966455392.jpg
    FB_IMG_1676966455392.jpg
    35.4 KB · Views: 12
Back
Top Bottom