Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Kwani hata ukioa kanisani hayo makaratasi yanakuzia usiache mke kama anazingua?!,mm kwangu hayo ni makaratasi tuu hayawezi kunifanya niache kufanya yangu
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Mi nashangaa eti watu wanaogopa sheria iliowekwa na binadamu mwenzao. Eti msitengane hadi kifo kikiwatenganisha. Mtu akileta umama anaachwa tu kiroho safi
 
Kwa hiyo Zamaradi ana tabia nzuri, kweli dunia imeisha
 
Hawa ndio Watanzania. Likikutokea jambo baya wanafurahia, ikiwa ni jambo la mafanikio wananuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…