Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Sina hulka ya kufurahia matatizo ya mwenzangu haijalishi tumekwazana vipi.

Jamaa kumpost na kumsifia mke wake watu walikuwa wanachukia sana, nickson Simon Nikki wa pili sio wa kwanza kuchapiwa alichapiwa mh wa msoga sembuse nikki!

Watanzania tukiacha hii hulka ya kufurahia matatizo ya wenzetu tutapiga hatua kimaendeleo
Msogare alichapiwa kabla hajawa mkulu
 
Yule demu sio wa kawaida jombaa , ukweli ni kuwa manzi ni kisu , lakini Kama walivyosema Wana , kumpenda Sana manzi ni ufala
Kwanza demu wa kawaida sana hana ule uzuri wa sana kwa Nikki still anaweza kupata zaidi yake wala asiwaze.

Mazingira haya ni hatar demu alipopiga CPA kali zile Top big auditing firms zote zilikuwa zinamgombania na kule watu wanashika pesa ndefu na safari za kwenda majuu..sasa jamaa yule wa weusi trip zake kweny vumbi huko pwani wenzie mara anaenda UK ,Dubai wapi na wapi🤔

Tatizo la jamaa yetu demu wa kawaida sana hana hata mzuka ila anaexaggerate sana kumsifia wengi walimkanya sana ..Mara aimbe sweet Mangi ndo hapo .
 
We yule dem Ushawahi kukutana nae karibu. Hakuna pis kali pale... Wa kawaida mnooooo alaf kafupi tu. Wewe nenda changyikeni kule udsm niki wa pili anaishi kule.. Kale kadem ni kanapenda siksi paki tu. Mm kashawhi kunipa lifti Mara kadhaa hadi udsm. Ukitaka namba zake njoo inbox
Acha ujuaji...[emoji38]
 
Tumeshawasili tiyari
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

mudrah dronedrake Mzee wa kupambania mnaitwa hapa

Kataa ndoa gang
emoji2.png
emoji2.png
emoji90.png
KATAA NDOA
NDOA NI WIZI

KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI

KATAA NDOA
NDOA NI USANII

LINDA AFYA YAKO YA AKILI KATAA NDOA
 
Kama sio rijali ndo unaweza kumuona Joan wa kawaida.
Nimekwambia wewe ni mshamba, laasivyo usingekuwa unapapatika kuita Joan mkali na kudhania hakuna wanaomfika na kumpita.

Tembea uone, kuna wanawake wazuri zaidi ya huyo joan, sema ndohivyo huwezi kuwapata hata ukitaka kwahiyo ni lazima upapatike tu.
 
Yule demu sio wa kawaida jombaa , ukweli ni kuwa manzi ni kisu , lakini Kama walivyosema Wana , kumpenda Sana manzi ni ufala
Hakuna hujakutana na visu, mboni wa kawaida tu...

Hivi ukionyeshwa kisu utaweza hata kupumua wewe kweli hata kukojoa tu utashindwa, msimpambe sana angekua kisu asingetembeza papa ovyo kila mtu anajichapia
 
We yule dem Ushawahi kukutana nae karibu. Hakuna pis kali pale... Wa kawaida mnooooo alaf kafupi tu. Wewe nenda changyikeni kule udsm niki wa pili anaishi kule.. Kale kadem ni kanapenda siksi paki tu. Mm kashawhi kunipa lifti Mara kadhaa hadi udsm. Ukitaka namba zake njoo inbox

Mkuu kuna watu sijui wanaishi wapi, watu wanahangaika na picha zilizochezewa kupendezeshwa.

Yule mwanamke ni wa kawaida tu, hana huo uzuri wa kuabudiwa kama jinsi baadhi ya member wanapapatika hapa.

Mfano mdogo tu, ilinganishe hiyo pisi na ile iliyokuwa video vixen kwenye YATAPITA ya Diamond Paltinumz, ambayo hata nayo hatuwezi kusema ni pisi kali kuliko😄.
 
Mimi namuona wa kawaida sababu nishachapa mkali zaidi yake.. kwa wasiowahi ndio wanaona hivyo

KATAA NDOA
Screenshot_20230219-145238.png
 
Back
Top Bottom