mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Acha us3nge basi na wewe.! .......... lakoHuwezi kushindana na mtu aliyeongea na nyoka mkuuuu live bila chenga
Huwezi kushindana na mtu aliyecost human race saivi wanaume tunakula kwa jasho wao wanazaa kwa uchungu kisa mtu mmoja tu hawa
Huwezi kushindana na mtu aliyemwangusha mfalme suleiman na akili zake na power zote alizokuwa nazo
Huwezi shindana na mtu ambaye hata mwenyezi MUNGU mwenye kasema ishini nao kwa akili
#kaa chonjo#
#kata ndoa#
#kata mahusiano#
Tafuta pesa usaidie yatima na wasiojiweza