Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Huwezi kushindana na mtu aliyeongea na nyoka mkuuuu live bila chenga

Huwezi kushindana na mtu aliyecost human race saivi wanaume tunakula kwa jasho wao wanazaa kwa uchungu kisa mtu mmoja tu hawa

Huwezi kushindana na mtu aliyemwangusha mfalme suleiman na akili zake na power zote alizokuwa nazo

Huwezi shindana na mtu ambaye hata mwenyezi MUNGU mwenye kasema ishini nao kwa akili

#kaa chonjo#
#kata ndoa#
#kata mahusiano#

Tafuta pesa usaidie yatima na wasiojiweza
Acha us3nge basi na wewe.! .......... lako
 
Mnajifurahisha tu humu.

Nani akatae ndoa ww

Hiki ni kikundi Cha watoto tu wa form 4 wameamua kuja kuji promo na kislogan Chao.

Sent from my itel W4001P using JamiiForums mobile app
Eti nani akatae ndoa, LiverPool ni mtoto wa form 4 siyo? Wapo wengi mno humu vijana kwa watu wazima wanaoi run kampeni hii. Na imeshajichimbia. Pole bhana.
 
Alivyokuwa akimpost sasa aiiiiiiiiiiiiii nacheka kama mazuri. Mimi nilijuwa hawafiki popote. Ati kisa mke ana shape basi anatupuruvia[emoji28] na alivyo mrefu sasa, Mungu mdomo koma.

Namsubiri zama kwa hamu siku wadada wakiingia mzigoni atatueleza vizuri kama kweli ile range alinunua mme. Huwezi mtundika mme kwenye mbao za matangazo posta ukabaki salama.

Masanja sasa hivi kapoa tunapumua.

hapo kwa masanja nmecheka kama mwehu[emoji81][emoji81][emoji81] msukumawababa[emoji16][emoji16]
 
We pimbi kweli. Eti linajisifia kabisa. Bahati yako, uliwakuta malofa.

Ungejaribu kujipenyeza kwa wake za mamafia uone ambavyo ungetolewa hicho choo laini.
Hii Ni kweli demu wa kizungu unagonga halafu kesho hamjuani. Wanapenda mno ngono Mana Waume zao wanawaza kuitawala dunia na kuhamia mars na kuchukua raslimali zote za afrika na Arabs so hamu ya ngono hawana kabisa.

Ila sie blacks wenye kupenda instant gratification wanajua mziki wetu wa kula mbususu yaani hii ndio respect pekee uliyo nayo black dunia nzima inajua halina ubishi kabisa.

Muulize hata Clinton binti yake alidata kwa mkenya mmoja sema akatolewa USA fasta mno
 
Nimekwambia wewe ni mshamba, laasivyo usingekuwa unapapatika kuita Joan mkali na kudhania hakuna wanaomfika na kumpita.

Tembea uone, kuna wanawake wazuri zaidi ya huyo joan, sema ndohivyo huwezi kuwapata hata ukitaka kwahiyo ni lazima upapatike tu.
Unapomsifia mtu haina maana kuwa unafanya comparison, ila unatoa credit pale unapoona panastahili. Uzuri wa Joan hauondoi wala kupunguza uzuri wa wengine, BTW uzuri uko machoni kwa mtu. Ila wengi wakikiri kuwa ni mzuri basi ni kweli na haiwafanyi wao kuwa washamba au hawana exposure.
 
Yule demu sio wa kawaida jombaa , ukweli ni kuwa manzi ni kisu , lakini Kama walivyosema Wana , kumpenda Sana manzi ni ufala
Wa kawaida sana yaani,yaani kawaida sana kweny darasa langu la o-level yule hata Top Ten kwa mademu nikiwakumbuka haingii ..halafu Yale mashape sio Yale mazuri la kawaida sana halina mzuka
 
Back
Top Bottom