Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Sina hulka ya kufurahia matatizo ya mwenzangu haijalishi tumekwazana vipi.

Jamaa kumpost na kumsifia mke wake watu walikuwa wanachukia sana, nickson Simon Nikki wa pili sio wa kwanza kuchapiwa alichapiwa mh wa msoga sembuse nikki!

Watanzania tukiacha hii hulka ya kufurahia matatizo ya wenzetu tutapiga hatua kimaendeleo
Ka demu kama yule kama una hela ya kuunga unga lazima uxhapiwe....inatakiwa umfunge na hidden camera mwilini bila ya yeye kujua
 
Kwanza demu wa kawaida sana hana ule uzuri wa sana kwa Nikki still anaweza kupata zaidi yake wala asiwaze.

Mazingira haya ni hatar demu alipopiga CPA kali zile Top big auditing firms zote zilikuwa zinamgombania na kule watu wanashika pesa ndefu na safari za kwenda majuu..sasa jamaa yule wa weusi trip zake kweny vumbi huko pwani wenzie mara anaenda UK ,Dubai wapi na wapi[emoji848]

Tatizo la jamaa yetu demu wa kawaida sana hana hata mzuka ila anaexaggerate sana kumsifia wengi walimkanya sana ..Mara aimbe sweet Mangi ndo hapo .
Yule mwanamke ni mzuri tuseme tu ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mkewa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu

Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi kwenu.
Sio mke wake...ni mzazi mwenzie..na mchumbawe...NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE NA MALAZI YAWE SAFI[emoji4]
by the way mbona kijana mtulivu sana yule surely wanawake wa/tunataka nini?[emoji30]
 
Back
Top Bottom