Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Sijui mnatetea nini. Maisha magumu lakini kujjiua ni kitu kingine kabisa, basi wote tujiue km unaona ni sahihi alichokifanyaUnadhani kwa sababu umekalia uchumi kila mtu ana ajira?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui mnatetea nini. Maisha magumu lakini kujjiua ni kitu kingine kabisa, basi wote tujiue km unaona ni sahihi alichokifanyaUnadhani kwa sababu umekalia uchumi kila mtu ana ajira?
Kuna yule machinga mwingine alijichoma moto hadharani ikawa chachu ya mapinduzi.. Nimesahau jina la nchi ila ni story maarufu..Nimemkumbuka marehemu Mohamed Bouazizi(graduate) wa Tunisia aliejua baada ya askari wa Jiji huko Tunisi nchini Tunisia kukamata mali zake alizokuwa anauza kama mmachinga kutokana na kukosa ajira tukio liliopelea maandamana ya kuwang'oa madikteta katika nchi kadhaa za kiarabu kwa kuanza na aliekuwa Raisi wa Tunisia na baadae Mubaraka wa Misri kisha Gaddafi wa Libya.
😀😀😀😀😀Una "English" fulani hivi ya kijinga sana,
Mbona kila siku zina tangazwa? hahahahaKwanini magufuli hatoi ajira?? Ana matatizo gani?





Kazingua kweli. MWANAUME unakataje tamaa kiboya?Jamaa amezingua sana aisee, sitaki kuamini ukoo wao mzima pia hakukua na wa kumsaidia nauli aende huko dar jiwe alipotuambia vijana tukaombe kazi
Mkuu achana na huyo , kazi yake kubwa ni Kuchezea Libolo Fc pale Uwanja wa Taifa vs Simba...Unaongea kindezi sana..! Wewe hicho kishimo chako km kinakusaidia unafikiri na wengine ni sawa..
Ndio ujiue jamani? Usomi wake umemsaidia nini, alikuwa anatambua kabisa kuwa ajira ni ngumu..ameshindwa kujiajiri mwanaume mzima?
Ndio huyo naemuongelea hapa.Kuna yule machinga mwingine alijichoma moto hadharani ikawa chachu ya mapinduzi.. Nimesahau jina la nchi ila ni story maarufu..
Nenda sarenda bridge kabebe zegeMM MWENYEWE NIKO NJIANI BORA KUFA KULIKO HII LIFE, UTAKUAJE KILA SIKU WW TU
Hapo kuna tofauti kubwa,yule wa Tunisia alikuwa mjasiriamali polisi/serikali ikamdhulumu. Huyu wa TZ hakuna jitihada zozote za kutafuta kipato zaidi ya kungoja ajira. Kusoma siyo tiketi ya kuacha kutafuta riziki na kungoja mtu aje akwambie njoo nikuajiri. Halafu waajiri wengi sekta binafsi ni elimu ya kawaida tu na la saba.Nimemkumbuka marehemu Mohamed Bouazizi(graduate) wa Tunisia aliejua baada ya askari wa Jiji huko Tunisi nchini Tunisia kukamata mali zake alizokuwa anauza kama mmachinga kutokana na kukosa ajira tukio liliopelea maandamana ya kuwang'oa madikteta katika nchi kadhaa za kiarabu kwa kuanza na aliekuwa Raisi wa Tunisia na baadae Mubaraka wa Misri kisha Gaddafi wa Libya.
Hela ya kununulia pombe kali alikuwa anatoa wapi?
Hunijui sikujui. Tunao au tuliopitia hali ngumu tuko wengi mno. Muhimu afya kamili. Mkuu acha kutetea ujinga.Waweza kumuita hivyo ukipenda, lakini ugumu huu wa maisha alioupata kama yatima (kulingana na maelezo) angeweza kutafuta riziki kwa kuwa jambazi na siku moja akasimamisha gari la mumeo au baba yako na katika purukushani za kumpora akauwawa. Sidhani kama ungemuita mpuuzi kwa dharau hivyo badala ya majina mengine. Tumesema Ukosefu wa ajira ni bomu linalo subiri kulipuka tuu
Kila mtu ana point of no return! Tuangalie source ya problemsSijui mnatetea nini. Maisha magumu lakini kujjiua ni kitu kingine kabisa, basi wote tujiue km unaona ni sahihi alichokifanya
Kwani umekatazwa kujiua siujiue tu.Sijui mnatetea nini. Maisha magumu lakini kujjiua ni kitu kingine kabisa, basi wote tujiue km unaona ni sahihi alichokifanya
Haha!mkuu what happened na ile avatar ya zamani?Hivi ukiwa na degree kama hiyo yake uende wizarani au kampuni yoyote uombe kazi ya kujishkiza mshahara uwaombe laki 3 per month hupati kweli ajira ?
Kuna kampuni ambayo ukiwaomba mshahara hata wa laki 2 na accomodation watakataa ?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu, elimu yetu si unaijua lakini?