Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Nimemkumbuka marehemu Mohamed Bouazizi(graduate) wa Tunisia aliejua baada ya askari wa Jiji huko Tunisi nchini Tunisia kukamata mali zake alizokuwa anauza kama mmachinga kutokana na kukosa ajira tukio liliopelea maandamana ya kuwang'oa madikteta katika nchi kadhaa za kiarabu kwa kuanza na aliekuwa Raisi wa Tunisia na baadae Mubaraka wa Misri kisha Gaddafi wa Libya.
Kuna yule machinga mwingine alijichoma moto hadharani ikawa chachu ya mapinduzi.. Nimesahau jina la nchi ila ni story maarufu..
 
Utajiajiri vipi kwenye nchi ambayo inaua private sector? Purchasing power very low, money circulation zero, hakuna uwekezaji wowote kwa sasa, taxes very high! Huyu jiwe aombewe tu kwakweli hali so nzuri.
Ndio ujiue jamani? Usomi wake umemsaidia nini, alikuwa anatambua kabisa kuwa ajira ni ngumu..ameshindwa kujiajiri mwanaume mzima?
 
Nimemkumbuka marehemu Mohamed Bouazizi(graduate) wa Tunisia aliejua baada ya askari wa Jiji huko Tunisi nchini Tunisia kukamata mali zake alizokuwa anauza kama mmachinga kutokana na kukosa ajira tukio liliopelea maandamana ya kuwang'oa madikteta katika nchi kadhaa za kiarabu kwa kuanza na aliekuwa Raisi wa Tunisia na baadae Mubaraka wa Misri kisha Gaddafi wa Libya.
Hapo kuna tofauti kubwa,yule wa Tunisia alikuwa mjasiriamali polisi/serikali ikamdhulumu. Huyu wa TZ hakuna jitihada zozote za kutafuta kipato zaidi ya kungoja ajira. Kusoma siyo tiketi ya kuacha kutafuta riziki na kungoja mtu aje akwambie njoo nikuajiri. Halafu waajiri wengi sekta binafsi ni elimu ya kawaida tu na la saba.
CC: Musukuma
 
Waweza kumuita hivyo ukipenda, lakini ugumu huu wa maisha alioupata kama yatima (kulingana na maelezo) angeweza kutafuta riziki kwa kuwa jambazi na siku moja akasimamisha gari la mumeo au baba yako na katika purukushani za kumpora akauwawa. Sidhani kama ungemuita mpuuzi kwa dharau hivyo badala ya majina mengine. Tumesema Ukosefu wa ajira ni bomu linalo subiri kulipuka tuu
Hunijui sikujui. Tunao au tuliopitia hali ngumu tuko wengi mno. Muhimu afya kamili. Mkuu acha kutetea ujinga.


Kama hivyo hata mimi ningeshaga jiua muda sana.
 
Computer Science Graduate wa Mlimani kashidwa hata kupata kazi ya kufundisha kwenye hivi vyuo vya Diploma na Certificates? maana vyuo vingi vinahitaji waalimu wa IT; sina uhakika kama hata walimu hawa wameshajaa kote.

Hapa hapo tuseme Bwana ametwaa? Unless kuna sababu nyingine lakini kama ni ya kukosa ajira si uamuzi sahihi.
 
Sijui mnatetea nini. Maisha magumu lakini kujjiua ni kitu kingine kabisa, basi wote tujiue km unaona ni sahihi alichokifanya
Kwani umekatazwa kujiua siujiue tu.


Utakuwa umetupunguzia mazezeta yanatotumalizia hewa ya oksijeni.
 
Hivi ukiwa na degree kama hiyo yake uende wizarani au kampuni yoyote uombe kazi ya kujishkiza mshahara uwaombe laki 3 per month hupati kweli ajira ?
Kuna kampuni ambayo ukiwaomba mshahara hata wa laki 2 na accomodation watakataa ?
Haha!mkuu what happened na ile avatar ya zamani?
 
Si anajidai yuko vizuri kichwani, hayo matakataka ndiyo nini sasa,[emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji40][emoji40][emoji40]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu, elimu yetu si unaijua lakini?
 
Back
Top Bottom