Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

asifikiri ataigeuza Kawe kuwa ufufuo wa misukule...
 
Wa
Nani kakwambia kuwa wabunge ndio wanajenga barabara? Kama ni hivyo Ukonga zimejengwa? Ruangwa zimejengwa? Kongwa zimejengwa? We ulisikia wapi?!
bunge hawajengi barabara, lakini wabunge wenye akili na ushawishi wanajenga zaidi ya barabara.
 
Kumbe wote wewe na minyoo wako mnaotoka nyumba moja , akili ni kukuz kabisa.
Halima hatoboi Kawe, hana cha kuonyesha kimaendeleo kwa miaka 10.
Flirting with a dead politician, Halima Mdee.
Naona unatumia ID zako zote leo kutetea uozo unaoitwa Halima.
 
Kumbe wote wewe na myoo wako mnaotoka nyumba moja , akili ni kukuz kabisa.
Flogging a dead politician, Halima Mdee.
Naona tumia ID zako zote leo
Mm sio halima mdee wewe acha uzuzu? Mpaka leo hujui kazi za mbunge afu unajiita great thinker? Yani unaamini kwamba ili barabara ijengwe lazima mbunge awe na ushawishi? Maendeleo yanapelekwa kulingana na distribution of national income mzee. Sasa huo ushawishi hapo unategemea nn?
JIMBO LA BUMBULI HAKUNA DIWANI HATA MMOJA WA UPINZANI.MBUNGE WAKE ALIKUWA NAIBU AKAWA WAZIRI MBOONA HAKUNA LAMI? NA HATA HUYO NYAPARA HAJAWAHI KUFIKA? C WANGEKUWA NA LAMI MPAKA VICHOCHORONI?
 
Huku kwetu itilima toka dunia imeumbwa mbunge wake ni ccm, lakini tunatumia mapalio ya ng'ombe kama ndiyo barabara.
 
Nafikiri ni vizuri pia kumpa na mwingine tuone atatuletea nini Kawe sio lazima Mh. Mdee arudi tena bali sisi wananchi tunataka maendeleo.
Pia pesa ya jimbo Mh.Harima Mdee ameiwekeza wapi? Tunataka tuone kitu kinachofanyika siasa za nyuma tofauti na siasa za leo watu hawataki promises au ahadi nyingi bila mafanikio. Politicians must change now!!!
 
Safi sana mkuu.
Kuna mijitu inaongea utafikiri bado wako vyoo vyao vya passport size walivyovizoea..
Halima must go.
 
We Minyoo , poyoyo wa Halima, hata kumuwowa hamutaki.
Mnajua huyo ni tasa wa maendeleo.
 
Kama ni CCM na hana la kuwaonyesha pigeni chini tu.
Kwani kuna tatizo?
Halima anapigwa chini safari hii.
Hapa safari hii hakuna cha ccm au upinzani. kama mbunge wako hajafanya chochote cha kuonekana hasa kutokana na pesa ya jimbo acha ile ya posho yake ya kula yeye na watoto wake nasemea pesa ya kuleta maendeleo jimboni ni kumpiga chini.
 
Mkuu wewe si poyoyo tu, bali zezeta la uhakika.
Endelea kushabikia mtu aliyeshindwa kuleta maendeleo kwa miaka 10.
 
KAMA DARESALAAM MNALALAMIKA HAKUNA MITARO YA BARABARA BASI HAKUNA FAIDA YA KUENDELEA KUWA NA CCM -KAMA DAR IPO HIVO JE MIKOA YA MBALI IKOJE? CCM MMEFELI MBAYA ..KAZI KUTAMKA MAENDELEO MIDOMON MWENU LKN NYIE WENYEWE MNALALAMIKIA MTARO TU. KAZI KUKOPA CHINA TU NA KUTULETEA MAENDELEO YA MKOPO JK 10YRS DENI TAIL10 NA XXM 5YRS DENI TAIL 20+

TAIL 20 IN 5YRS=TAIL 2 IN EVERY 1YRS DAUUUUUUU ISGOIN TO BE CHITANZANIA LIKE CHIZAMBIA
 
ukiona hivyo TARURA NA TANROADS ndio wamefeli, MACCM akili zenu sijui ziko wapi, umetoka huko TEMEKE kwa wajinga wenzako unaleta ujinga Kawe, kama huko tandika ni pazuri kaa huko, akili zako ziko kwenye mataghito? yaani sehemu nzuri unahama unaenda sehemu mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…