Nadhani wewe ndio mwenye ufinyu wa akili. Hivi kwa miaka yote hiyo umeshindwa kujua nani anaesababisha yasiwepo maendeleo kwenye majimbo yanayoongozwa na wapinzani? Ni serikali ya CCM. Na Mara nyingi wamekuwa wakijinasibu waziwazi kuwa hawataleta maendeleo mkichagua upinzani. Kwa maana nyingine wanaforce mchague mgombea wanaemtaka. Naona hapa na wewe umenaswa kwenye huo mtego wa kijinga. Zinduka acha ufala!!!Jitahidi kuongea na watoto wenzio wenye upeo kama wako.
Kawe tunataka barabara, nothing short.
Halima ndani ya miaka 10 ameshindwa kabisa kushawishi serikali kujenga barabara kawe.
Mnampenda Halima, muiteni waimbie kwaya na lile lisauti lake.
Dawa yake ni kumng'oa tu.Wafuasi wa Halima hawana cha kueleza katika mafanikio ya Kawe na ni nini Halima amefanya.
Kilichobaki ni kutukana na kuchafua mada ili wasomaji wasijue uozo wa Halima na alivyohopeless.
Halima ni janga la maendeleo.
Bado nasisitita , mfungwa mzoefu zHalima hawezi kuishawishi serikali kuwekeza Kawe, hata baada ya muda mreeefu kupewa ubunge...kama Kawe haina barabara huo ni uzembe wa ccm na serikali kuu.
..hatuwezi kudanganyika kwamba kawe kupata au kutokupata barabara ni suala la kimahusiano baina ya Halima Mdee na serikali.
..Gwajima ni tapeli na hapaswi kuchaguliwa mbunge.
Dawa ni kuing'oa CCMDawa yake ni kumng'oa tu.
Bado nasisitita , mfungwa mzoefu zHalima hawezi kuishawishi serikali kuwekeza Kawe, hata baada ya muda mreeefu kupewa ubunge.
Sasa mkuu tumchague kwa lipi?
Sura nzuri? HAPANA!
SAuti ya kumtoa nyoka pangoni? HAPANA kabisa!
Amewahudumia wananchi? HAPANA!
Sasa nyie wapambe wake mnamnadi kwa lipi?
Heri hata huyo Gwajima.
Okoa jahazi!
Kila mtu ana mtazamo wake, ikiweza kuing'oa CCM fanya ivyo.Dawa ni kuing'oa CCM
Nope!..walioshindwa hapo ni serikali ya ccm.
..kwa miaka 10 mlisema mnatekeleza ilani ya ccm.
..kama imeshindikana kutekeleza ilani ya ccm, basi uamuzi wa busara ni kuwapa nafasi cdm watekeleze ilani yao.
Huyo hawakilishi mawazo mapana ya wana CCM .masopakyindi ,
..unamuona huyu kijana?
..sasa hatutaki utawala unaolea watu wa aina hii.
https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/09/2531660__Ukn8AVQoNMF7lnX.mp4
Tumpe kura Gwajima!Gwajima anatosha!
Gwajima mbunge mtarajiwa wa Kawe. Katafute malimao kabisaaa, maana ndio imekwisha hiyo.Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke.
Hali ya jimbo la Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchague mtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Kwani mbunge ndo anajenga barabara????
Hata mimi nimekuwa nashangaa sana na watu wanaopiga kelele kama hizi sehemu mbali mbali. Naona kama hawajui hata kama mbunge wao atakuwa analala bungeni na kuamkia ikulu kila siku, kama Rais na watu wake wa mipango hawataki kujenga mahali hawajengi tu, na hasa ikiwa sehemu zenyewe zina support kubwa kwa wapinzani.kazi ya mbunge ni kujenga barabara?
Kujidanganya ni kuwa ukichagua chama kinachotawala maendeleo yatakuja. Ni miaka hamsini na ushee sasa na Tanzania hadi sasa kuna watoto wanasoma shule katika mabanda ya mabovu, hawana vifaa vya kusomea, hawana vyoo wala maji. Kama kwa miaka 50 serikali iliyokuwa madarakani imeshindwa kufikisha maendele muhimu kwa kila mtanzani nchini, miaka mitano zaidi haitawasaidia chochote.Ni kujidanganya kuwa ukichagua upinzani maendeleo yatakuja.
Kawe ni mfano dhahiri.
Halima yupo pale kama picha, hanyanyui mdomo kutetea maendeleo ya barabara kwa miaka 10 sasa.
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke.
Hali ya jimbo la Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchague mtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Gwajima huyu-huyu muigizaji wa sinema za ngono?
Kwani mbunge ndo anajenga barabara????