Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

Yaani uliposema tu usichague chama chagua mtu nikaona kweli wewe unaakili lkn sasa mtu mwenyewe ni Gwajima?? hapo ndipo unapoendelea kuwa haunazo
 
Anapigania kupata rasilimali

Na anaeamua kuzitoa hizo rasilimali ni nani? Mtoa hizo rasilimali asipotaka kuzitoa huyo mpigania anafanya nini? Kwa tabia za kiafrika jimbo likiwa la uoinzani basi maendeleo hayaletwi au huletwa taratibi mno kama ni fundisho. Amka Mtanzania!!!
 
Acha ujinga, ungesema serikali za CCM zimeshindwa kutatua changamoto za Kawe tungekuelewa, unataka serikali ikusanye kodi ila barabara ajenge Mdee? Hebu pita kwenye majimbo kongwe ya CCM kama Kongwa ujionee shida wananchi wanazopitia.
 
You are an ass
 
Ni nani wanakusanya kodi kawe?
 
Unalipa kodi?
BAba yako halipi kodi, wewe na familia hamlipi kodi , halafu unategemea maendekeo ya bure!
Una matatizo!
 
Kilaza wa katiba mkubwa wewe! Usiyejua mamlaka ya mbunge
 
Acha ujinga, ungesema serikali za CCM zimeshindwa kutatua changamoto za Kawe tungekuelewa, unataka serikali ikusanye kodi ila barabara ajenge Mdee? Hebu pita kwenye majimbo kongwe ya CCM kama Kongwa ujionee shida wananchi wanazopitia.
Usilete mambo ya shamba, napa mjini na Kawe walipa kodi ni wengi sana kustahili kuhudumiwa.
Jitu lililokuwepo, Halima, ni mbumbumbu wa kuona hali halisi.
Chagua Gwajima mwenye uwezo wa kulobby uwekezaji wa kiserikali.
Halima MUST GO!
 
Kilaza wa katiba mkubwa wewe! Usiyejua mamlaka ya mbunge
Kilaza mkubwa zaidi ni wewe unayefikiri kazi ya mbunge ni kuwekwa selo kila kukicha.
Akili ya kijinga, wewe na Halima hakuna tofauti, jichagulieni selo ya kudumu.
Kawe hatkuwachagua kwa hilo.
Halima MUST GO!
 
UMEMSIKIA JIWE LENU "Hapeleki miradi ya maendeleo" kwa waliompa wabunge wapinzani. Kosa la Mdee ni lipi?
 
UMEMSIKIA JIWE LENU "Hapeleki miradi ya maendeleo" kwa waliompa wabunge wapinzani. Kosa la Mdee ni lipi?
Mbona kwa Mbowe barabara ya kilometa 11 ilijengwa?
Halima ni bomu, hawezi kulobby.
Halima MUST GO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…